Seyela1900
@mse6091
I didn’t change,I just found myself, and now pursuing greater heights to serve humanity better, and glorify only the Almighty 🙏🏾
This is going to be a great discussion—make sure to tune in! #NoReformsNoElection #FreeTunduLissu
🚨SPACE ANNOUNCEMENT🚨 Join us this week as we unpack what can be done, if anything -- both domestically and internationally -- to safeguard the integrity of #Tanzania's election amid a wave of arrests, abductions, and killings. Set your reminder here:
Sehemu ya hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara @chacha_heche akiwa Butiama leo katika ziara yake ya #NoReformsNoElection
TZ population by mid 2025 ni 70.5 million. Bado figure ya 37.6 million ni too much sawa na zaidi ya 53%. Hapo bado hatujaondoa wale wa under 18. Hii inayojiita tume huru iache kutufanya si kuwa mafala. Yaani mmeanza kuvuruga uchaguzi hata kabla ya bunge kuvunjwa. #tutaelewanatu
Mkusanyiko usio halali kivipi wakati watu walienda nyumbani kwa kiongozi wao. Hii inamaanisha kwanzia sasa wanachadema wote nchini hawana uwezo wa kupokea watanzania wenzao likija swala la kusali JUMUIYA nyumba kwa nyumba. Hili jeshi la polisi linatuonaje watanzania. Hawa…
‼️🚨Uongo haufichiki🚨‼️ JAJI HAMIDU MWANGA JAJI HAMIDU MWANGA JAJI HAMIDU MWANGA nakuita mara tatu! Hii nini? 👇🏾 Mwaka 2021 ulikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ofisi ya Zanzibar (ZEC) kwa mujibu wa NEC Na hata @TumeUchaguziTZ ikifuta risiti tunayo JITOE maana…
Haki ya Mbunge kukutana na wapiga kura wake ni ya kikatiba na haihitaji ruhusa ya chama au Jeshi la Polisi. Mbunge huchaguliwa na wananchi, si kwa niaba ya chama bali kama mwakilishi wao. Chama kinatoa udhamini tu wa kugombea. Kudhani kuwa Mbunge ni kiongozi wa chama katika…
‼️🚨POLICE BRUTALITY REPORTED INCL POSSIBLE KILLINGS IN RUKWA‼️🚨 Police in Rukwa have invaded a private gathering of @ChademaTZ2 members and badly beaten them - reportedlymtwo have been killed and @tanpol is accused of trying to dispose of bodies in uninhabited areas Cc @UN_HRC…
Hizi CHEAP Tactics za KUWANYAMAZISHA wakosoaji wa REGIME kwa KUWATEKA na KUWAUMIZA hazijaanza na SAMIA wala hata MAGUFULI. SAMIA is to be BLAMED kwakuwa amekubali KUTUMIKA kufanya huu UOVU; ila UKWELI ni KWAMBA Mzee AYATOLLAH ndiye "GOD-FATHER" wa UHUNI na UJANGILI wote nchini…
Kwamba Tume imeandikisha zaidi ya nusu ya watu wa Nchi hii!!!! Yaani kwamba imeandikisha 100% na zaidi ya watu wazima wote.. Hivi hawa watu wanatuona Watanzania wote ni wajinga? Kwamba bado kuna watu wanasema wanashiriki kupambana!!! Unapambana na watu ambao tayari mfumo…
Hata uhangaike vipi na vikaragosi vyako @SuluhuSamia huwezi kuzima nyota yake @TunduALissu Hatma yake na njia aliyopangiwa na Mwenyezi Mungu ni ngumu ila USHINDI ni mkubwa #FreeTunduLissu #FreeTunduLissuNow T U N D U L I S S U 🔥 7th President of UR Tanzania 🇹🇿
Kwa kutumia experience yako ya mazingira ya Tanzania, ufahamu wako wa elimu na tabia za watanzania, takwimu za Sensa, na common sense, je, inakuingia akilini kuwa watanzania wote au hata asilimia kubwa ya watanzania wenye sifa ya kupiga kura wamejiandikisha kupiga kura mwaka…
Activist Mwabili Mwagodi alleges torture by Kenyan and Tanzanian authorities Video: Tobias Chanji
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
Nini viashiria vya rushwa?Rushwa siyo lazima iwe pesa. Hata fadhila 1. Kesi kucheleweshwa bila sababu za msingi. 2. Kutotenda haki kwa wakati. 3. Kuzuia mazingira ya uwazi katika mahakamani 4. Mashahidi wa siri Kesi ya TAL inapopigwa tarehe bila sababu za kutosha siyo rushwa?
Mwabili Mwagodi’s safety and security is the SOLE RESPONSBILITY of the government of @SuluhuSamia as he is legally working and residing in Tanzania He was abducted in Dar es Salaam in typical #EnforcedDisappearance Modus operandi meaning this is STATE SANCTIONED! This is a…
We made this meme in #Tanzania because Faustin Mafwele is the one behind the notorious and deadly “task force” that abducts, tortures and kills citizens! He was the one also named by @bonifacemwangi and @AAgather in the lawsuit - he gor a promotion few months ago and is the Dar…
‼️🚨SAMIA CLOSES THE COMMERCIAL HALL WHERE CHRISTIANS WERE PRAYING🚨‼️ The Glory of Christ Church believers were praying in a hall that is usually commercially available for hire Reports say after district commissioner Msando attended their gathering last week, this week in fury…