MwanzoTvPlus
@MwanzoTvPlus
Independent Online Media serving East Africa with premier news - Uncensored and Undaunted
#TANZANIA: CCM KUFANYA MAREKEBISHO YA KATIBA KWA NJIA YA MTANDAO, KESHO JUMAMOSI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya Mkutano Mkuu Maalum kwa njia ya mtandao siku ya Jumamosi, Julai 26, 2025, kwa lengo la kufanya marekebisho madogo ya Katiba ya chama. Akizungumza na…

#UFARANSA: UFARANSA YATAMBUA PALESTINA, NETANYAHU NA RUBIO WAPINGA VIKALI Tangazo la Rais Emmanuel Macron kwamba Ufaransa itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru mwezi Septemba limeibua ukosoaji mkali kutoka kwa Israel na Marekani, wakidai kuwa hatua hiyo ni hatari na isiyo na…

#TANZANIA: UKIMYA WA SERIKALI YA TANZANIA DHIDI YA UTEKAJI WAKOSELEWA Tazama Zaidi: youtu.be/YC76__o6gQI
Gambia yatangaza mlipuko wa ugonjwa wa mpox mwanzotv.com/gambia-yatanga…
#TANZANIA: UKIMYA WA SERIKALI YA TANZANIA DHIDI YA UTEKAJI WAKOSELEWA Tazama Zaidi: youtu.be/YC76__o6gQI

Polepole: CCM inapoteza mwelekeo, “Wahuni” wameingia ndani ya chama mwanzotv.com/polepole-ccm-i…
#TANZANIA: UCHAGUZI MKUU TANZANIA KUFANYIKA OKTOBA 29, 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utafanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025. Akizindua ratiba ya uchaguzi akiwa jijini Dodoma, Mwenyekiti wa INEC, Jaji (Rufani) Jacob…

#TANZANIA: RAIS SAMIA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA JIJINI DODOMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Mashujaa leo Julai 25, 2025, katika Uwanja wa Mnara wa Mashujaa, Mtumba jijini Dodoma. Tukio hilo…




Kenyan activist goes missing in Tanzania mwanzotv.com/kenyan-activis…
#TANZANIA: MWANAHARAKATI WA KENYA MWABILI MWAGODI ARIPOTIWA KUTEKWA NCHINI TANZANIA Mwanaharakati mashuhuri wa mitandao ya kijamii na mkosoaji wa wazi wa utawala wa Rais William Ruto, Mwabili Mwagodi, ameripotiwa kutoweka jijini Dar es Salaam, Tanzania, katika kile kinachoshukiwa…

#UGANDA: Magazetini Leo... Daily Monitor, New Vision, Bukedde Ijumaa Julai 25, 2025



#KENYA: Magazetini Leo... Taifa Leo, Daily Nation, The Standard, People Daily Ijumaa Julai 25, 2025




#TANZANIA: Magazetini Leo... The Citizen, Mwananchi, Habari Leo, Nipashe Ijumaa Julai 25, 2025




#TANZANIA: BALAA! MFANYABIASHARA WA MADINI AUAWA KINYAMA KATAVI Mfanyabiashara mmoja wa madini katika kitongoji cha Kapand Kijiji cha Katisunga Halmashauri ya Nsimbo Mpanda Mkoani Katavi, amevamiwa na watu wasiojulikana na kuchomwa na kitu/vitu vyenye ncha kali na kusababisha…
#BREAKING: GWIJI WA MIELEKA HULK HOGAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 71 Gwiji wa mieleka duniani, Hulk Hogan, ambaye jina lake halisi ni Terry Gene Bollea, amefariki dunia akiwa na miaka 71 baada ya kupata mshtuko wa moyo mapema Alhamisi asubuhi nyumbani kwake huko Clearwater,…

#TANZANIA:SAMIA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA KESHO Rais Samia Suluhu Hassan kesho Julai 25,2025 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa, ambayo yatafanyika katika Viwanja vya kumbukumbu ya mashujaa vilivyopo Mtumba jijini…

#TANZANIA:Polepole: CCM inapoteza mwelekeo, “Wahuni” wameingia ndani ya chama mwanzotv.com/polepole-ccm-i…
#TANZANIA:POLEPOLE:TUNAENDA NA MAMA SAMIA KWENYE UCHAGUZI, TUNAWAAMBIA NINI UMMA, KWAMBA AMEFANYA NINI? “Tunapoenda kwenye uchaguzi saa hizi tunakwenda na Mama Samia(Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan) alikua na Magufuli na baadae Mungu akambariki nae akawa rais alikuwa Makamu…

#TANZANIA:POLEPOLE:KUNA MAMBO HAYAKO SAWA CCM, WAHUNI WANASABABISHA SHUGHULI ZINAFANYIKA NJE YA CHAMA “Mimi mwenzenu nimefikia uamuzi wa kusema nijitoe Muhanga kusimama miongoni mwenu na kusema kuna mambo hayako sawa, yako vibaya, tuyarekebishe kwa ustawi wa chama chetu.Chama…

#TANZANIA:POLEPOLE:HUU SIO WAKATI WA MAMA APEWE 10, CHAMA KWANZA MTU BAADAE “Mambo yanavyokwenda hayakubaliki tubadilishe, turekebishe pale kwenye chama ili chama kisimamie mchakato wa ndani wa kuwapata wagombea watakopeperusha bendera kwenye uchaguzi mkuu, kisha Mwenyekiti na…
