Eddo Lalika
@EddoLalika
Event Organizer |VSLA Trainer &Curiculum developer| SDGs |Translator |JOKER😅 |Geopolitics analyst | @SimbaSCTanzania | @ChelseaFc fan
Mzazi wako anapambana ili usome lakini wewe ukifika chuoni unashindana kuvaa na kwenda club na marafiki waliotoka familia zinazojiweza. 😒😒

Hata sio kuwapindua enzi hizo mabasi yalikuwa mabovu sana, hivyo yalikuwa yanahutaji mafundi wale walikuwa sio wahudumu.
Mungu wa mbinguni akawe mlinzi wa maisha ako popote ulipo Mh lissu
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa... Happy birthday to me..🎉🎉🎉🫶🫶
Nacheka kama mazuri 😅😅😅
So bora ufanye biashara twita coz kwao sio mtandao 😅😁 au??
So unalipa kodi TRA coz una physical adress ya business na unalipa pia coz una tumia mtandao? Au? Aise wamachinga tutatoboa kweli haya maisha? 😭
Wanangu wa BACK BENCHA kumekucha salama MUNGU ni mwema 🙏🏿🙏🏿 tumkabidhi MUNGU siku yetu na HARAKATI zetu tuingie road tukapambane 🙏🏿🙏🏿
A woman whose nyash does not shake while brushing teeth should never complain of polygamy. Eddo Mwakitombeto Kavu proverb😊
Mimi nivae Shanga kweli anko 😒😒
😂😂 demu wako Irene kazikana itakuwa kweli mwanetu unavaa🫵
TRA wanataka kodi kwa biashara za mitandaoni ambayo serikali imeifungia hadi tunaingia kwa VPN(ni kosa kisheria) na wao pia wanaingia kwa VPN kupost hizi habari😂😂 Hii nchi ina shida sana
TRA wanataka kodi kwa biashara za mitandaoni ambayo serikali imeifungia hadi tunaingia kwa VPN(ni kosa kisheria) na wao pia wanaingia kwa VPN kupost hizi habari😂😂 Hii nchi ina shida sana
Tanga ya wapi hii au ndio mmetumwa mtuchafue na sisi wasambaa 🤔🤔🤔
TANGA Matopeni!😂😂😂😂😂😂😂😂😂
0 Moja iliyo changamka eti never Smoked Mimi kabisa 😅😅😅
Apa unaondoka na max ngapi??😂🙌
Standard hizi umeanza lini janja, we pitia tu mzigo wako kabla sijaonga.
Sivaagi upuuzi huo navaa Gold Mimi Nilipwe kwa Dollar nivae shanga za 2k look at you mf🙂🙂