Mr Health💊💉
@ItsMrHealth
HEALTH || A nutritionist || A Counselor || Psychologist || Sexual health & Reproductive Expert...✍️
WANAUME WANAOJUA SIRI HII, NGUVU ZAO ZA KIUME HAZISHUKI HATA KIDOGO! Kama una miaka 20, 30, 40 au zaidi, na unataka kuwa imara kama kijana wa miaka 18, basi unapaswa kujua siri hii mapema kabla hujachelewa! Twende Taratibu: Open Thread:⤵

Ligi zimerudii Odd zinaanza kushushwa anda mtaji wako huku ukiwa na kampuni safi kabisa ya kubetia #DBbet.. Depost na withdraw mitandao yote💥💥 Huna account? Jisajili (Register)👇 Link 👉 url-shortener.me/2EMO 🌺Promocode Andika: MZUNGU Weka promo code upate bonus.💵💵💵
Biashara inajengwa kwa uvumilivu. Ukiukosa, unaweza kuacha biashara ambayo baada ya mwaka ingeanza kuzaa matunda. Lkn uvumilivu pekee hautoshi-unahitaji maarifa. Bila maarifa, utafanya maamuzi mabovu na kupoteza. So, endelea kuwa mvumilivu na tafuta maarifa kwa gharama zote.
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei jezi ya sasa 27,000/= 👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255623346245 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
READY MADE SUITS – UBORA WA KIFALME! 🔥 Suti kali kutoka Turkey, zenye material ya kipekee – zinapatikana kwa jumla na rejareja hapa @suitmseleleko Suti 3 peaces (koti, Kizibao + suruali): 180,000 •Shati: 30,000 •Chain: 10,000 •Ua: 10,000 •Tai na kitambaa cha mfukoni:…
Kumbuka kulala Uchi Ni afya wakuu— Katika hili, Usiogope Chochote, Pambania Afya yako..📌
Bro to bro, Having Garlic, Ginger and Tumeric in your meals will save you from a lot of health issues From today, make them your favorite spices..
Baada ya miaka 16 ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi, rapa Birdman hatimaye alifunga ndoa ya siri na mpenzi wake wa muda mrefu Toni Braxton. Lakini baada ya siku mbili za ndoa Toni aliwasilisha ombi la talaka na kudai fidia ya dola milioni 160. Twende taratibu story ipo hivi…
Umewahi kufikiria kununua tiketi ya SGR 🚆 kwa simu halafu ukajikuta unapewa tiketi ya BURE na zawadi kibao? Kwa kutumia @CRDBBankPlc SimBanking App au kupiga *150*03#, unaingia kwenye dunia ya urahisi na mshiko! 1. Lipa tiketi za SGR 2. Fanya miamala zako zote 3. Shinda IST…
Jinsi ya kujiheshimu mwenyewe 1. Wajibika kwa maamuzi yako mwenyewe 2. Timiza ahadi zako 3. Omba msamaha kwa dhati unapokosea. 4. Fanya kazi kwa bidii hata kama hakuna anayekuona. 5. Jizungushe na marafiki wanaopenda kukuona unakua 6. Kuwa mwema, lakini usikubali watu wakutumie