P'site Shio
@Psiteshio1
Founder at Kinange Company
Kuwa Winga Unaweza kuwa Winga online tu ukiwa geto, sio lazima uende Kariakoo Unataka kuwa Winga wa laptops na smartphones? Naomba u comment neno WINGA nikupe mchongo huu. Utapewa bidhaa Kwa Bei za jumla na kuuza upendavyo, huhitaji mtaji. Ni wewe na ujuzi wako wa kuuza.

Nchi ambazo zimepata Uhuru na Tanzania miaka 60 iliyopita zimepiga hatua kubwa, mbali na SA ambayo maendeleo Yake yanazidi nchi nyingi za Ulaya. Sisi tunakwama wapi? Hatuna vision?
Hata kama serikali hainipi AJIRA?
Punguza kulalamika anza kufanyia kazi mambo yanayokuhusu.
Tunamshukuru Mungu kwa kutuletea JUA watu wa Arusha kwa siku 3 mfululizo sasa
Nimesikia kutoka kwa watu wengi hii Ngoma ABC ukituma mizigo unalala kwa furaha bila wasiwasi..... Rated number 1.

Kabla ya kuanza kufanya biashara ya nguo nenda Kwanza kwa VUNJABEI ukaombe kazi pale, ujifunze mengi.
Katika mkoa ambao viongozi huwa hawapatani ni Arusha, yaani inaumiza Sana.
Bongo kijana wa miaka 20 anakuambia "Ngoja nizae mapema watoto waje wanisaidie" Yeye mwenyewe mtoto na hawezi kujisaidia😆😆😆
Hello @grok kwa jiji kama Arusha lenye matajiri tupu, ninaweza Fanya project gani majumbani mwao nikaunda million dollars?
Wanaoongozwa na roho ni wana wa Mungu. Ukianza wiki mpya hakikisha Kila siku unaombea biashara/ofisini/ Yako Kwa dakika 5. Maombi haya ni ya kuombea jambo unalofanya Mfano: kama unauza nguo, basi ombea nguo unazoziuza zikabidhi Kila siku mikononi mwa BWANA
Kuna kampuni ya uhakika ya mabasi ya kutuma mizigo kama BM Coach? Hili sio Tangazo, kama BM Coach ina route ulipo, watumie.
Nilindeje na sina bunduki?
Chama chako hakitakutetea pale ambapo mfumo wa nchi umeoza. Ukiwa kijana mwenye fikra pana, utatambua kwamba kulinda maslahi ya Taifa ni muhimu kuliko kushabikia watu wanaotumia siasa kama njia ya kujitajirisha.
Barabara kama MKEKA wa madawa
Barabara ya moshi Arusha ni changa moto sana…
Waajiriwa nawaona mmeshafika kazini mapema Sana. Hongereni Sana.
Sasa ni usiku mnene na sioni hata mbele lakini nitafika nyumbani, kabla sijafika nyumbani nataka vijana wote ambao hamna kazi tukutane pale stand saa 1 Asubuhi.