Manu Beî
@piusbei
Tanzanian | Iraqw | Catholic | Reformist | Aning nee YESU KRISTO
Sasa kama chadema mnajua hawakujiandiska, si ndio ccm mngefanya hizo reforms ili kuthibitisha khwa mnashindaga kihalali?? Chadema imekufa, upinzani umekufa, chadema haijajiandikisha, ccm Ina wanachama mil 13 Yote hayo tunakubali, lakini mbona mnaogopa kuweka tume huru?
MTIRIRIKO WA VIPINDI VYA REDIO NYINGI ZA TANZANIA. 1. Asubuhi-MICHEZO 2.Mchana- TAARABU 3.Jioni- BONGO FLAVOR Watu wetu wana cheua kile wanachorishwa.
"Taifa ambalo redioni asubuhi wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama wanajadili umbea. Jua likizama wanarudi kwenye michezo. Usiku wanajadili ngono hadi panakucha. Hakuna vipindi vya taaluma, ujasiliamali, kilimo, midahalo. Hilo taifa lipo KABURINI kitambo". Prof Lumumba
Hakuna mazuri hayana magumu tunakaribia kushinda japo vikwazo vingi lakini tuta vuka salama 😭 Repost kila mpenda mapinduzi ni uzuni kwakweli 😭 #NoReformsNoElection
~Never underestimate the power of your voice. It matters. It makes a difference. Keep speaking truths-change begins the moment you dare to be heard~
This uniform belongs to kenyans and the rifle I am hosting was bought by your money and the person in that uniform is a Kenyan …if you kill one of us then we all raise up and defend ourselves for we are one nation…# say no to political misuse
If you live in the West, you are likely funding the Tanzanian government's campaign to the repress its political opposition. This must end.
Mwenyezi Mungu bariki NDOA hii kwa mikono yako yote. #NoReformsNoElection
Hakuna mtu mwenye haki ya kukutesa. Hakuna mtu anaestahiki kuteswa, kuadhibiwa au kufanyiwa kitendo cha kinyama. - Kifungu cha 5 cha Tamko la @UNHumanRights. Alhamisi Siku ya Kusimama na Waathirika wa Utesaji, fahamu haki yako: bit.ly/3ZN9rrn I #Standup4HumanRights
Kwa Gen Z,wanachama, wapenzi na wafuasi wapya TUIJUE CHADEMA kwa pamoja. Tuifaham historia ya CHADEMA. Tuelewe kwanini tunasema CHADEMA NI IMANI. Tuwafikishie na salamu wanaohisi CHADEMA itakufa kuwa CHADEMA IMEJENGWA, HAIKUIBUKA KAMA MRADI 📌 @ChademaTZ2 #NoReformsNoElection
Kanuni ya 16 inasema wakala haruhusiwi kuingia kwenye kituo na simu. Kura ni siri kwa nani.
#𝙵𝚛𝚎𝚎𝙼𝚍𝚞𝚍𝚎𝙽𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒 #𝙵𝚛𝚎𝚎𝙼𝚍𝚞𝚍𝚎𝙽𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒 #𝙵𝚛𝚎𝚎𝙼𝚍𝚞𝚍𝚎𝙽𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒 #𝙵𝚛𝚎𝚎𝙼𝚍𝚞𝚍𝚎𝙽𝚢𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒 #𝙺𝚊𝚝𝚊𝚊𝚠𝚊𝚝𝚎𝚔𝚊𝚓𝚒 #NoRefomsNoElection #NoRefomsNoElection #NoRefomsNoElection #NoRefomsNoElection 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Continue to torture, kill and kidnap us because of our political positions. We will never stop condemning your evil because nothing that has a beginning has no end. There will be a day when everyone who has done us evil will be held accountable for their actions. The book "The…
Hahaha
Hawa watu watalindaje kura kama watu walioudhuria mkutano wa Temeke na Manzese ni walewale na hata kinondoni watabadilisha t-shirt na viti tuu?! Nyomi migration behind Lindakura, Octobertunatiki is on another level. #NoReformsNoElection ni njia sahihi ya kukabiliana na wakora
Jana nime follow watu kama 100 wanaosema #NoReformsNoElection Pia nime repost creative posts nyingi Sasa leo mwendo ni ule ule! 👇🏾 weka hashtag, tag me in posts - mambo yachangamke 🔥 Bango hili nimependa sana! Flag bearer wa harakati hii ni @ChademaTZ2 chini ya uongozi wa…
Hatuwezi kukusahau utarudi ukiwa imara #freemdudenyagali 💔 Kwaeshima ya kinaja mwenzetu tumpe Repost 500 amejitoa maisha yake kwaajili ya Taifa hili Repost.. Repost 🤞 🫂 #NoReformsNoElection
Hata Mazayuni (Israel) hawafuti comments za #FreePalestine kwenye page zao. Tunaongozwa na Mambumbumbu!
CdA Lentz recently met with Father Charles Kitima as he continues his recovery from the brutal attack on his life last month. We reiterate our condemnation of all acts of violence, especially those that attempt to silence calls for justice, reconciliation, and human rights.