US Embassy Tanzania
@usembassytz
The U.S. partners with Tanzanians to build & sustain a healthier, more prosperous & secure nation. Terms of Use: https://www.state.gov. #UbaloziniLeo
Ungana nasi katika mafunzo kwa njia ya mtandao na ana kwa ana (online and in-person session) kuhusu mikakati madhubuti ya kutafuta masoko yakiwa na mada isemayo "Marketing to Win: Proven Strategies for Sales Mastery & Brand Visibility" yatakayotolewa na Lucia Mwashala, mhitimu…

Join us for a hybrid online and in-person session on "Marketing to Win: Proven Strategies for Sales Mastery & Brand Visibility" with Lucia Mwashala, 2020 YALI RLC Alumnae & Founder of Kuza Hub. Lucia will equip participants with the tools to build a strong business and personal…

Kutana na Julieth Justine Julian, Mshiriki wa YALI Mandela Washington Fellowship wa mwaka 2025 kutoka Tanzania. Yeye mhamasishaji wa masuala ya afya na mjasiriamali aliyejikita katika kuelimisha jamii kuhusu lishe bora, kinga dhidi ya magonjwa, na matumizi ya virutubisho na…



Meet Julieth Justine Julian, a 2025 🇹🇿 YALI Mandela Washington Fellow, health advocate, and entrepreneur committed to educating communities on proper nutrition, disease prevention, and the use of natural supplements. Through her social media platforms, Julieth creates educational…



Hivi karibuni, Musa Kalangahe, Mshiriki wa Mandela Washington Fellowship wa mwaka 2017 na Mkurugenzi wa Kampuni ya Junubia Host Co. Ltd (kampuni iliyoanzisha programu ya Shilu ANA ya kuweka teksi), aliongoza kikao chenye nguvu kuhusu kuboresha uendeshaji wa biashara ili kukuza…




Recently, 2017 🇺🇸 Mandela Washington Fellowship Alumnus Musa Kalangahe Country Director of Junubia Host Co. Ltd Company behind Shilu ANA Taxi Booking App led a powerful session on optimizing business operations for growth. Expanding commercial ties is a key Trump Administration…




Swali: Nina visa ya Marekani. Ninaweza kukaa Marekani kwa muda gani? Jibu: Visa ya Marekani inakuruhusu kusafiri hadi kwenye lango la kuingilia Marekani na kuomba kibali cha kuingia. Muda unaoruhusiwa kukaa Marekani hauamuliwi na tarehe ya mwisho wa visa yako. Afisa wa Uhamiaji…

Question: I have a U.S. visa. How long can I stay in the United States? Answer: A U.S. visa allows you travel to a U.S. port of entry and request permission to enter. How long you are allowed to stay in the United States is not your visa's expiration date. The CBP officer…

Tunakualika kugundua urithi wa kipekee wa kitamaduni wa Tanzania kupitia ziara mpya ya kimtandao (virtual tour) ya Msikiti Mkuu wa Kilwa Kisiwani, sasa inapatikana mtandaoni. Mradi huu, ulioanzishwa mwaka 2011 kwa ruzuku ya dola 700,000 kutoka kwa Mfuko wa Wizara ya Mambo ya Nje…



We invite you to explore Tanzania’s rich cultural heritage through the new virtual tour of the Great Mosque of Kilwa Kisiwani, now live. Originally supported in 2011 through a $700,000 grant from the U.S. Department of State’s Ambassadors Fund for Cultural Preservation (AFCP) to…



Kutana na Dkt. Linda Salekwa, Mshiriki wa Programu ya YALI Mandela Washington wa 2025 kutoka Tanzania, mwanasayansi wa biomedikali mwenye hamasa kubwa na uzoefu wa miaka 9 katika masomo ya magonjwa ya kuambukiza na usugu wa maradhi kwa dawa. Ana Shahada ya Uzamivu katika Sayansi…



Meet Dr. Linda Salekwa, a 2025 🇹🇿 YALI Mandela Washington Fellow and a highly driven biomedical scientist with 9 years of experience in infectious diseases and antimicrobial resistance studies. She holds a PhD in Biomedical Sciences and specializes in diagnostic consultancies,…



Kama sehemu ya ziara yake nchini Tanzania, Meya wa jiji la Dallas, Eric L. Johnson, alitembelea kiwanda cha kutengeneza nguo za jeans cha "Tooku" kilichopo Dar es Salaam, Tanzania, ambapo nguo hizo huzalishwa na kuuzwa nchini Marekani. Meya Johnson alishuhudia kwa karibu…




As part of his ongoing visit to Tanzania, Dallas Mayor Eric L. Johnson visited the "Tooku Factory," a jeans manufacturing facility in Dar es Salaam, where these garments are produced and exported to the United States for business. Mayor Johnson closely observed the production…




Wiki hii, Mameya wa Dallas na Dar es Salaam walitia saini rasmi hati ya makubaliano (MOU) ya kuwa Majiji Dada, yakianzisha ushirikiano wa kindugu kati ya vituo hivi viwili vikubwa vya kiuchumi. Wawakilishi kutoka serikali ya 🇹🇿 walitoa taarifa kuhusu fursa za kuimarisha biashara…
Hello Dodoma, we're in your city! On Thursday, July 24 from 3:00 p.m. to 5:00 p.m., join the EducationUSA Advisor for a FREE EducationUSA info-session at the American Affiliate Space in Dodoma located inside the Dodoma Regional Library. The session will cover topics such as the…

Muda wako wa kukaa Marekani kihalali unaonyeshwa kwenye tarehe ya "Admit Until Date" iliyo kwenye fomu yako ya I-94, si tarehe ya mwisho ya visa yako. Kukaa Marekani zaidi ya tarehe hiyo ya ruhusa kunajulikana kama "overstay" na kunaweza kusababisha kufutwa kwa visa yako,…

Your authorized period of stay in the United States is the "Admit Until Date" on your 1-94, not your visa expiration date. Staying in the United States beyond your authorized date is called an "overstay" and could result in a visa revocation, possible deportation, and…

Kutana na John Shayo, Mshiriki wa YALI Mandela Washington Fellowship wa mwaka 2025 kutoka Tanzania, mjasiriamali wa kijamii na mwanaharakati anayepambania kuchukuwa hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika maendeleo endelevu na biashara za…


