MLINZI FEKI
@mtsonga12
Mtoto wa mtaani. Chelsea Fan. Real Madrid.
WANANGU, Tuwe busy tupambanie maisha yetu, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu mpaka mwisho Mwanangu. TUWE BIZEE.
Leo ndo nimeanza kuelewa, kwa nini baba alikuwa anaongea akiwa pekee yake.
Kwa sheria za nchi huyu dogo anatakiwa akomae na masomo na aaachane na shughuli nyingne under 18 😅😅😅
Kwahiyo Adam alijuaje kwamba alitakiwa aichomeke kwenye Kuma....Vp kama angekosea njia akamfira Eva ingekuaje???🤔🤔🤔
Nimepima UKIMWI jana sikuwa nao nimetunza kipimo nije nimwoneshe demu wangu leo nakuta kiko na line mbili ni nani kaja kukiwekea UKIMWI usiku jamani😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Jana katika mahojiano ya Polepole na Mtangazaji wa BMG TV yamefanyika ila chakushangaza Polepole alikua Tanzania na Mtangazaji yupo Mwanza hii imekaaje? Wazito. 😎
""Tanga mnayosema wanajua mapenzi ,Kuna pisi Kali mixer mishangazi ni ipi?mbna naona wazee tu 😂
Ukiwa na pesa kidogo then mtu akisema Sijala, sina vocha unaweza kuhisi kama utani lakini ni kweli kuna time kwenye hili life unakosa hata mia, But, dont give up, mradi hizo nyakati hazijakuua bhasi zinakufanya kuwa bora🙏
Wakuu mbona sikuiz nikiamka asubuh nakuwa sina matongo tongo kama nilivokuwa mdogo shida itakuw nini 😅😅😅
Tunatafuta pesa Ili tuwe na furaha, ila tusipokuwa makini tunaweza kununua matatizo kwa pesa zetu wenyewe #ElimikaWikiendi
Ukiamini huwezi hautaweza kweli na ukiamini unaweza utaweza kweli,mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe!!✍️
Charger imeharibika na ni Type c, maisha ya finalist yameanza kuwa magumu.