Sdk, PhD
@SdkKalula
Father | Husband | Anko | mTz | Part-time Farmer | Yanga Die Hard | ICT4D Enthusiast | RTs ARE NOT ENDORSEMENTS |
RT.
Kasi ya kudai kodi iendane na kasi ya kuwapatia maendeleo wananchi. Watu wamesahaulika, unapita mahali unajiuliza hawa wanawezaje hata kutabasamu? Yes…imekaa kama dhihaka lkn ukweli ni kwamba maisha wa Watanzania wengi ni kama wako vitani ni mateso asubuhi mpaka jioni.
Ila Mnolile😂😂 Ngoja sisi wa Lyazumbi tusogee Kibaoni pale tukahudhurie "Kikao Mtandao"
Tungekuwa tunaona pesa zetu are put to proper use we could have been very proud paying these taxes. Imagine mpaka pesa ya kujenga vyoo vya shule tunapewa misaada!
TZS 672,000,000 au sio?
Confirmed .! Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo Allasane Kante kutoka CA Bizertin Simba SC imenunua mkataba wa Allasane Kante na CA Bizertin wa mwaka mmoja uliokuwa umebaki kwa USD 258000 (Tshs Milioni 672) na mchezaji huyo atawasili Tanzania wikendi hii ili kutambulishwa.
RT.
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki. Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na…
Mwl. Nyerere angekuwepo angekubaliana na ile CCM ambayo Polepole alikuwa Katibu Mwenezi?
Quick question Thomas; How far have we achieved the Dira currently in use?
DIRA YA TAIFA 2050: MWELEKEO WA TANZANIA KUJENGA TAIFA LA KISASA NA JUMUISHI Leo Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kua mgeni rasmi katika hafla ya kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050. Utangulizi Tangu kupata Uhuru mwaka…
RT.
Even with fabricated & unjust terrorism charges hanging over his head like the Sword of Damocles, Chairman Freeman Mbowe still manages a sweet smile in a courtroom chat with his daughter Nicole. What a man!!! What a commitment!!!