Dr.Kb MD🩺.
@adam_kibona
Medical Doctor, MUHAS Alumni, Iboru alumni, Agrobusiness, MUFC fans and @young African
Nina mshukuru Mungu sana siku ya Leo nimeweza kutunukiwa degree yangu ya kwanza ya udaktari Tiba (MD) from @muhimbiliuniver Adam J Kibona MD, Dr. Kibona(kb). #Godaboveall


Huu mwaka pengine tutaona mambo yatofauti sana ndani ya sisiemu.. Cdm Tunajua Mungu anaitengeneza we trust God in process
Hii ilinipita kwanza nipate recaps kabla sijapata admission ya TBI na intestinal obstruction... ☠️

20's to 35's yrs for a man is a struggling yrs with very hard drilling.... Jah bless our hustles....
Shida hizi zote za kiusalama tunazoziona zinatokana na TISS kuwa sehemu ya CCM na CCM kuwa sehemu ya TISS. Usalama wa Taifa wakianza kushughulikia wanachama wa chama kimoja inaondoa dhima nzima ya taasisi hiyo. Nchi yetu inafaa kuufumua mfumo mzima wa TISS. Huyu EMMANUEL…
Usipo umizwa au kuguswa na haya yanayoendelea nchini, basi wewe umepoteza ubinadamu wako.. UTU wa mtu hauna chama, wala itikadi. Hawa watu siyo majambazi wala waovu. Kosa Lao nikuchagua kua upande wa haki. Stay safe Mdude... We pray for you..
Dx mnazijua but tukikupa mgonjwa you can't reach to diagnosis. Knowing Dx and reaching to Dx are two different things Sometimes we manage pt by considering Hx of presenting illness of the pt not only Dx Thus why we are there to guide you that to a particular person this is the Dx
Mkisema Mfamasia HUJUI Diagnosis, Nakuwa SIWAELEWI Mwenzenu. At least Semeni — Mfamasia HAFANYI Diagnosis. Kuna Tofauti ya KUJUA na KUFANYA.. Hata Nyie Hamuoni?
Huwa wafamasia sijui mnafikiliaga nini.. Above all MD is a comprehensive package. MD is a top.. So tukuachie kijiwe mfamasia Uta clerk, uta diagnose, utafanya order investigation rationale, na uta prescribe ? Very Idiotic mindset!
Mi inanishangaza sana,daktari anamsikiliza mgonjwa halafu anaandika nenda pale kapime typhoid ova.kitengo hiki mfamasia anaweza kukava na kumaliza hadi dawa unayotakiwa kutumia.
Nimesoma hii barua imenifanya nitafakari sana.... Nimetafakali sana wakuu.....

We mwanangu ni mjinga sana
YUDA HAKUMSALITI YESU. Yuda hakurubuniwa kwa vipande 30 vya fedha YESU mwenyewe ndiye alimfata Yuda na kumuomba amsaidie ili neno la Mungu litimie YUDA ndiye mwanafunzi pekee aliyekuwa na huo ujasiri Jiulize kwanini Injili ya YUDA ilichomolewa kutoka kwenye Biblia
.....
Magufuli atashinda kwa zaidi ya 80%. Lissu atasaidia kuijenga upya CHADEMA lakini itatokea mifarakano ya kimaslahi. Mwinyi atashinda Zanzibar, CCM na ACT wataunda GNU iwapo ACT hawatasusa. ACT Bara itasinyaa. CUF & NCCR wamefika mwisho. 2025 utakuwa uchaguzi usiotabirika kwa CCM.
+1 God am Grateful... Birthday imenikuta nipo Lindo la emergency... Reborn while saving others life.. It's a blessing 🙏🏿

Njaa mbaya sana wazee.. Am sure hapa huwezi kumkuta mtu ambaye yuko stable kiuchumi
Dah 😂😂🙆♂️
#FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLissu #FreeTunduLiss
#TajiriLaKihaya Leo tuendeleee ku #Repost tu! Bila kusema chochote…
My woman hii challenge Anatoboa Sema hayupo humo,😂 Ukibisha nakublock
MDstudents.. So mnasema hamjifunzi cannulation hizo mnawaachia nurses.. Ok ok, you will not understand how this soft skills are important until umeingia field.. If you get chance to learn them do it according. Nawasilisha👊🏿🤝
Kaka let us be realistic uzuri na wewe umesoma kwenye hizi shule zetu.. Hii ya kutoa michango imeharibu vitu vingi sana
Rate ya ufaulu ipo VP Saizi???
Kaka unielekeze mimi kinabaga ubaga, sisi wananchi wa uyole mbeya tumenufaikaje na Tulia Trust.. Usilete sile jezi anazogawa, na Ile mikopo ,na kwenda kwenye misiba hizi ni dang any toto.. Nieleze yeye kama mbunge na muwakilishi wetu ametufanyia nini pale..? Niko hapa nasubilia
Kazi njema ya Tulia Trust Chini ya mkurugenzi Mhe @TuliaAckson na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini. Tulia Trust inafanya vyema kwa kugusa maisha ya wananchi hasa wahitaji... Ujenzi unaendelea wa Nyumba ya muhitaji kutoka kata ya Igawilo Mtaa wa Mwanyanje.