Ashraf JK, Kutwa Mara Tatu(tds)
@Ashrafkilande
No Awards Yet 🏆 | Medical/Health Personality | Nurturing DawaYako™ through @pharmadawaa | Pharm-Artist from Tanzania exploring East Africa & Beyond | #AfyaTamu
Stop trying to go viral. Start trying to be valuable.
"Kama wewe ni mtumishi wa sekta ya afya, USIWE na matarajio makubwa sana. Na hio itakupunguzia msongo wa mawazo" — Dokta Fadhili
Afya ya Akili Mahospitalini. Afya ya Akili Mahospitalini. Afya ya Akili Mahospitalini. Afya ya Akili Mahospitalini. Afya ya Akili Mahospitalini. Afya ya Akili Mahospitalini. Afya ya Akili Mahospitalini. Afya ya Akili Mahospitalini. Afya ya Akili Mahospitalini.
Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena. Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa…
Bora Nini? Kipi kianze VISIBILITY (Kuonekana) au UWEZO
Mgonjwa mwenye Epilepsy, MSIMPE CIPROOOFloxacin Mgonjwa mwenye Epilepsy, MSIMPE CIPROOOFloxacin Mgonjwa mwenye Epilepsy, MSIMPE CIPROOOFloxacin
Chochote kinachohusu Dawa au Ugonjwa, kilichowai kuandikwa kwenye hili page (#AshrafJK)..ni "for informational purposes only" Ukitaka Matibabu, NENDA HOSPITALI, Tuna wataalam mahiri & wenye weledi Ahsante,, with Love A.jk
Generic drugs aren't FAKE GUCCI Same active ingredients.
Haya maeneo matatu ya kitabibu nayahusudu mno: 1. Urology 2. Cardiology 3. Plastic surgery MFAMASIA anaingiaje kwenye hizo specialty????? Naomba kujua.
Diagnostic criteria for clincal Obesity in children and adolescents #Meded #MedX #Obesity #TIC2025
Sijawai kukutana na Urologist Ambae hana FURAHA na Kazi Yake! Specialty gani ya hospitali inaongoza na wataalamu wenye mssongo wa mawazo??? I think that is research topic...
Pharmaco-Economics...💥💥💥 Pharmacy inaingia Popote! 1. Pharmaco-Entertainment 2. Pharmaco-Realestate 3. Pharmaco-Financing 4. Pharmaco-Laws 5. Pharmaco-Therapy
Uje na Tafiti kama wewe ni mbishi; "Matumizi mabaya ya dawa za hospitali/Famasi yamewapeleka watu wengi kwenye wodi za dharura (Emergency Care wards) kuliko hata DAWA ZA KULEVYA"
Miss you Biggy Faustine // Ndani ya miaka mitano yametokea mengi (2020 - 2025) 💔🙌🏿

Nasna // Wamekuja na Hiii. GPS — Real Time Tracking Designs 🎨🎭 // #AshrafJK

Niko Nafikiri kwa Sauti Hapa: Wahasibu Wana CPA (Certified Public Accountant) Kwanini Wafamasia Wasiwe na CPP (Certified Public Pharmacist)? Ukisema Mfamasia huyu ana LESENI, Hio ni terminology pana..ana leseni ya nini? LESENI ZIWEKEWE MADARAJA PLIZ.... Naomba kuwasilisha🙏🏿
I love the way they run this page. ❤️👌🏿
