Why KE
@_Africanah_
I love reading.skating
Ndio kulogin uku after busy afternoon ya kuchoma mahindi uku njoro
Nakuambia usubscribe to my youtube channel unakataa. Kwani hamtaki nitoke block.
Nashangaa mbona simu yangu ni mzito hivi kumbe ni juu ya Instagram na telegram 😂😂
Kuref local football is not for the weak firimbi kidogo unaskia na ujue njia utapitia after hapa
Lakini bila kudanganya, wewe ulijoin telegram kwanini ? 🤭😂
Huwa tunasema marriage Ni scam huku kumbe mambo Kwa ground Ni different😂😂
Mamangu sio a gifter na mimi napenda gifts. Sa there's a certain leso alinipea nikiingia form one, nimemaliza nayo campus. Kanararuka na I can't get myself to get rid of it😭😭😂.
kuna my salaried pal alisema leo anitolea form jiweke na ndo naona missed call yake kumamae
WhatsApp yangu iko dry, niliacha kutext juu I felt like I'm bothering them
_Biggie _2Pac Shakur _Nipsey Hussle _Dolph Who do u bring back if u had a chance to 🤔