Wilson E.Tarimo
@WilsonMawala
EN Nurse| Former PM at KHTI COLLEGE| Activism| candidate of Ward Councillor CHIGONGWE Dodoma City | Human right defender|(Arsenal £|Simba Tz; fan)
Wakati WAJUMBE wanapiga kura Mlimani Cty, Wakunjangumi tupige kura hapa✊✊ 👇 Retweet kwa LISSU like kwa Mbowe.


Mungu amtunze sana Mwenyekiti @TunduALissu alipambana sana usiku na mchana bila kuchoka wala kulala kipindi kile cha kesi ya ugaidi ya Mhe. @freemanmbowetz kuhakikisha HAKI inashinda katika kesi ile ya ugaidi. #FreeTunduLissu #NoReformsNoElection
Kwanza nicheke kidogo🤣🤣🤣 Iddi Amini Mamaa Hana amani Ikulu, Leo ameomba afwatilie kesi ya Simba live. Hii Ngoma #NorefomsNoelection wameshatepeta tushikilie hapohapo na Maandamano yafwate, mbona tunaikombo Tanganyika fasta tu. #NoReformsNoElection

Tayari ndani ya Mahakama na wazee Wangu Baba Bonny kutoka arusha na Mzee Gracian Mukoba kutoka mkoa wa Kagera.
Huyu kijana mdogo leo zaidi ya mwaka mmoja hajulikani alipo!!! Kosa lake ni nini? Kukosoa serikali? Kukosoa ccm na kuwa na mtazamo tofauti?https://t.co/UifObWnbvW
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wamepigwa na kuumizwa huku wengine wakikamatwa na kushikiliwa chini ya ulinzi hii ni baada ya Kuandamana leo @usembassytz @SecRubio @USForeignAssist @POTUS @US_SrAdvisorAF @ForeignPressCtr @UnitedNationsTZ @hrw @UN
Asanteni Watanzania, kila mtu afanye anachoweza kufanya kwa kadri Mungu alivyomjalia ili kupeleka ujumbe wetu mbele zaidi. Tutashinda msiogope.https://t.co/RdMxVJRMYn
Sasa hii iende Hadi Nightclub na Show zote za wasanii wimbo uwe ni #NoReformsNoElection🇹🇿
This is Dodoma last night 🔥👊🏽 Students say #NoReformsNoElection They are not interested in emtertainmemt and CCM propaganda telling them to go and vote! Hivi @ccm_tanzania kuna mtu amebakiwa na hekima hata kidogo? @nchimbie mnafiki mtatolewa maofisini nduki mkiendelea kutuita…
Tukijiandaa na oparesheni ya chama #NoReformsNoElection usisahau kuchangia tone lako
#NoReformsNoElection Sasa imekuja kivingine, Popote zikifanywa Shoo za wasanii na Matapeli wa dola wimbo unakuwa ni #NoReformsNoElection Hii uende mbali zaidi ifike Hadi kwenye ukumbi za starehe Nightclub, na Bar na viwanja vya michezo.
BREAKING: #NoReformsNoElection imetua Tiktok na Instagram.
Sauti za kukemea UTEKAJI, UUAJI na KUUMIZA Watanganyika zinaongezeka kwa kasi kubwa sana. Mtumishi hapa naye amepita alimo pita jasiri Josephat Gwajima. Haya sasa, nendeni mkafungie na hili kanisa kama mlivyo fungia Ufufuo na Uzima.
Tupo very serious tunaipigania nchi irudi kwenye himaya ya wananchi. Anajitokeza mmoja wenu kwasababu ya njaa zake anasaliti mapambano na kwenda kushirikiana na wanaotukandamiza. Aisee, wewe ni adui yetu mbaya kuliko huyo mkandamizaji mwenyewe...don't expect any special…
Heche alituachia Kazi ya kumsema @MsigwaPeter mpaka tumemnyamazisha katulia tuliii. Hivyo basi ukitaka tukunyamazishe na wewe we're almost Ready than Never before. #NoReformsNoElection🇹🇿 #NoReformsNoElection🇹🇿 #NoReformsNoElection🇹🇿 #NoReformsNoElection🇹🇿
Kila siku nazidi kujifunza, TZ Udikteta ni asili yetu.Ukatili wa CCM unaakisi tabia ya watanzania wakipata madaraka. Kabla hamjatetea Ujinga leteni Clip ya Heche akisema usaliti wa Msigwa kwa maneno ya Chuki kama aliyoyatumia kwa Mama Kiwanga. Kiwanga anakuwaje msalit kwanza??
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza asimulia habari za watekaji. Namna walivyo mfuatilia ili kumteka. Amesema haya mbele ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa, Spika,Katibu Mkuu CCM na Viongozi wengine. Amesema wakati wa MSIBA wa Mzee Mongela.
Msikilize Mwalimu @chacha_heche, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara. #NoReformsNoElection
Hi guys, nimefanya maamuzi magumu. Nimeamua kusitisha ajira yangu ya umbea kwa muda wa miezi 5, nitarudi kwenye umbea November 1 2025. Kuanzia leo for 5 months straight nitafanya siasa tupu! I think wito wangu hapa duniani ni huu wa kufanya harakati, nashindwa kulala na kuishi…