Halima Nabalang’anya
@HalimaYusuf_N
HR Strategic Partner|Leadership and Life Skills Coach|A change Champion|Curriculum Validator|Community Dev|GS Women HR Assoc. of TZ|CC member ACT Wazalendo.
Mhe. Mbunge jimbo la Mtwara Mjini @ACTwazalendo 2025-2030

But we need to go back. 2019,2020 na hata 2024 unazungumzia kipindi ambacho vyama vilikosa fursa ya kutoa elimu ya uraia kwa muda mrefu. 2015 haikuja kabla ya 2000 ambayo ilifuatiwa na mauaji ya 2001, still utawala tulonao si wa kijeshi ni wa kiraia, pamoja na kwamba hata utawala…
𝐌𝐖𝐀𝐌𝐁𝐀 Duke Abuya bado yupo sana Jangwani📄🔏 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Shule kilometa 6, akifika akae chini, akirudi nyumbani mlo mmoja usioeleweka kwa kuwa wazazi wamelima mazao yameliwa na nguruwe na hawajalipwa fidia, maji hakuna yaani ni struggle.
Mateso kwa kwenda mbele
Kasi ya kudai kodi iendane na kasi ya kuwapatia maendeleo wananchi. Watu wamesahaulika, unapita mahali unajiuliza hawa wanawezaje hata kutabasamu? Yes…imekaa kama dhihaka lkn ukweli ni kwamba maisha wa Watanzania wengi ni kama wako vitani ni mateso asubuhi mpaka jioni.
We are absolutely delighted to announce that 𝐏𝐚𝐜𝐨𝐦𝐞 𝐏𝐞𝐨𝐝𝐨𝐡 𝐙𝐨𝐮𝐳𝐨𝐮𝐚 has signed a contract extension. 📝🫡 #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko
Hata sisi wenyewe tumekosa picha aliyo tabasamu…..😐 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Yanga ni kama ACT WAZALENDO 💪 wanalinda Kura zaooo💪💗 Hawasusiii Wahuni What a blessing, 😀
Young in age ….. Mature in football ….. Casemiro ni Mwananchi🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
📌
Wakati tunajenga hoja ya kushiriki uchaguzi huku tukipigania reforms na kuhamasisha wananchi kujenga ujasiri wa kupigania heshma na thamani ya kura zao ulituita matapeli. Leo unakuja hapa kuonesha unaunga mkono wagombea wa @ccm_tanzania waende kwenye uchaguzi - so confusing. Ni…
mradi mzima wa Mchuchuma na Liganga unaweza kuliingizia taifa fedha za kigeni zinazofikia mpaka Dola za Marekani bilioni saba thechanzo.com/2025/07/22/nal…