Revline Mbugi
@RevlineMbugi
Naibu katibu mkuu BAVICHA bara 2024-2029.
Faida kubwa ambayo taifa tutapata baada ya reforms kupatikana ni kufariki kwa vyama vya siasa shikizi. Msiwashangae wanavyopinga reforms kuwazidi CCM, ni wazi uwepo wa reforms ni pigo na kifo kwao maana watakosa umuhimu kwa boss wao hii ni immediate death. #NRNE
TAHILISO ni kwaajili ya kuwasemea wanafunzi Sio kwaajili ya mipasho. @DarChaso @Chaso_kiut @ChasoUdsm @chaso
Nimejumuika na wanachama wenzangu wa Chadema Kata ya Gongolamboto na Jimbo la Ukonga katika Dua ya kukiombea Chama chetu na pia kumuombea Mwenyekiti wa Chama chetu Taifa, Tundu Lissu. Baada ya Dua tumekutana hapa kijiwe maarufu cha UKAWA SQUARE kujadili mambo yahusuyo taifa letu.
Deni la mama ni stahimilivu in English sustainable 😂😂🙌"We are open" #NoReformsNoElection

call.whatsapp.com/voice/AzrygOB8… Leo kuanzia saa mbili usiku.

youtu.be/pqLRWoTpe54 mskilize mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Mbeya @drChonya akieleza namna mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi yalivo muhimu kwenye ujenzi wa democrasia nchini.
Raisi ameweza kugawa baiskeli, Pikipiki, magari Tanzania nzima ila madarasa ya shule nyingi za Tanzania bara yapo hivi,na tunategemea kutengeneza wasomi wakubwa kwenye Hali hii, kwakua watoto wao hawasomi humu hawawezi kuelewa. #NoReformsNoElection @DarChaso @martinAbdul14
#Mbeshipaulo mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la Geita vijijini ametekwa Jana na watu waliojitambulisha kua wao ni police @tanpol mtateka wangapi??na Kama hamuhusiki ni nani Yuko nyuma ya hili?? Ni lipi jukumu lenu katika taifa Ikiwa mmegeuka kuwa adui wa wasemaukweli.
Wazazi walitupa chakula chote tule tupate nguvu,tukatafute kingine kingi,tumekuja kutafuta hatujapata tunarudi kuendelea kuwafilisi. #noreforms2025noelection tupate viongozi wenye maono watakao tengeneza ajira nyingi.

Fact
Nguvu tunayoitumia kushabikia mpira ya ulaya tungeielekeza kudai Katiba mpya, tungekuwa mbali sana. Katiba bora ni msingi wa ustawi wa maisha yetu sote. Tuchague kilicho na faida ya kweli kwa Watanzania!
Watu wanatoa maoni mazuri ya kujenga lakini implementation ya maoni hayo ni 0% Hakuna haja ya kuigiza citizens participation with no implementation. #NoReformsNoElection
#NoReformsNoElection
"On Love, One Heart" Mhe. @TunduALissu akiwa Mahakama Kuu leo tarehe 11 Julai 2025.
"Uchaguzi usio na ushindani wa Haki, hauna maana"-; Padri Kitima
Mechi ichezwe kwenye uwanja unaolingana, #NoReformsNoElection
Wananchi wamechoka kuona Kodi zao zikichezewa kwenye chaguzi zisizo huru na haki. #NoReformsNoElection
Correcting injustice without personal sacrifice CCM inavyofanya kwa ACT na CHAUMA. #NoreformsNoelection
Leo nimepata nafasi ya kua miongoni mwa waliomtembelea mwenyekiti gerezani ujumbe wake kwa vijana 1.Tusikate tamaa kama ambavyo yeye hakati tamaa. 2.Katazo la mahakama linamhusu katibu mkuu na bodi ya wadhamini sisi wengine tukilifuata tutakua wajinga. @bavicha_taifa #NRNE


Haya ndio MADAI yetu juu ya mabadiliko ya sheria na kanuni za Uchaguzi. WASOMI TIMAMU tumekubaliana bila mabadiliko haya, Uchaguzi wetu sio huru na wa haki. #NoReformsNoElection