Deogratias Mahinyila
@AdvMahinyila
National Chairperson-CHADEMA Youth Wing. Advocate of High Court| Notary Public and Commissioner for Oaths.
youtu.be/LbVxA88hhDg?si… "Wao wanapopanga mipango Yao na MUNGU pia anapanga yake,huu sio unyonge"amezungumza mwenyekiti wa BAVICHA taifa @AdvMahinyila Leo aliposhiriki Dua ya kumuombea mwenyekiti wetu Mh Lissu pamoja na chama.
Jana 26/7 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa @AdvMahinyila akizungumza mara baada ya Dua Maalum ambayo imefanyika kwa ajili ya kumuombea Mwenyekiti Chadema Taifa, Mh. Tundu Lissu
VIDEO: Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) Taifa @bavicha_taifa , Wakili Deogratius Mahinyila, ameungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika kata ya Gongo la Mboto, wilayani Ilala, mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya dua maalum…
Nimejumuika na wanachama wenzangu wa Chadema Kata ya Gongolamboto na Jimbo la Ukonga katika Dua ya kukiombea Chama chetu na pia kumuombea Mwenyekiti wa Chama chetu Taifa, Tundu Lissu. Baada ya Dua tumekutana hapa kijiwe maarufu cha UKAWA SQUARE kujadili mambo yahusuyo taifa letu.
Nataka kusikia mtu mmoja akisema AMINA kubwa sana......! Ahsante na Mungu awabariki.
Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Geita vijini #MbeshiPaulo Ametekwa, Jana ilikuja Gari ikambeba na kujatambulisha kuwa ni Askari Polisi, mpaka leo familia haijui alipo Ikumbukwe Bw. Mbeshi amekuwa mkosoaji mkubwa Wa serikali hii.Hii hali haivumiliki haivumiliki haivumiliki.

Madai. Sitaki wagombea wangu waenguliwe. Kabla hujajua dai hilo limetekelezwa au halitekelezeki. Mkakati unaouza: Nitalinda kura. Je, wagombea wako wakienguliwa kama ambavyo madai yako yanasema. Utalinda nini? No Reforms: No Election ni kama MAJI usipoyanywa basi UTAYAOGA.

"Hii #NoReformsNoElection itatekelezwa na wananchi wa Tanzania kwasababu hii ni agenda ya Watanzania kwa miaka mingi"-; @AdvMahinyila
Tukutane hapo baadae. Tutajadili mambo kinagaubaga. Hasahasa hili la NRNE tutalazimika kulijadili. Hakuna njia nyingine tofauti. Tutakuwepo.

Habari za akina Mkojani,Mkali wenu, Hamorapa and the like; kuchukua fomu huko mbogamboga ni mkakati mpya wa kutaka umma uwajadili. MaCCM yanafurahia hata kupata Dakika 5 watanzania kujadili ujinga wowote. Wanaogopa hawapendi mjadala wa NO REFORMS: NO ELECTION. Tupuuze MAUJINGA.

Kwa wavivu wa kuelewa na wanaochelewa kung'amua mambo. Bi Mkubwa hapo anasema; Kwa wanaosema OKTOBA TUNATIKI, ni kwamba hawana akili, hawajielewi na mafala sana. Sababu kuu ni kwamba hata WASIPOTIKI bado nani kama MAMA atashinda. Wasijidanganye na matiki yao. AKILI MTU WANGU.

Leo jioni limefanyika kongamano kubwa la kukihami chama katika jimbo la kilolo, mkoa wa Iringa. Kongamano hilo limeongozwa na Katibu Mkuu wa BAVICHA taifa Dua Lyamzito Hakuna kulala mpaka kielewekee. *#NoReformsNoElection*