Gift Kimaro
@GiftKimaro7
Accountant | Entrepreneur | Social Media Influencer| Yangasc Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu 💪💪
Upanuzi huu ni suluhisho la foleni ambazo ni kero kwa wananchi, hasa nyakati za asubuhi na jioni. #OktobaTunatikiSamia
Ujenzi wa daraja la mawe Mkonjigwe mita 42 katika barabara ya Chibumagwa -Sasajila -Makasuku -Itetema kata ya Sasajila wilayani Manyoni kazi inaendelea pamoja na ujenzi wa barabara ya Mandewa 69 Km. 0.89 kwa kiwango cha lami inayojengwa Singida. #OktobaTunatikiSamia



📍Morogoro Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imeanza ujenzi wa kituo cha kisasa cha mabasi karibu na stesheni ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Jakaya Kikwete, kwa gharama ya shilingi bilioni 13.4. #OktobaTunatikiSamia

Heri ya siku ya kuzaliwa Rais wa Klabu yetu Eng. Hersi Said. @Caamil8 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Ujenzi wa Shule ya Sekondari Tupevilwe wilayani Makete umekuwa mkombozi kwa wanafunzi ambao hapo awali walikuwa wakitembea umbali wa KM 20 kufuata elimu. #OktobaTunatikiSamia
Mama ana imani kubwa kwa vijana. Ameendelea kuwaamini kuanzia kwenye nafasi za uongozi hadi kwenye fursa za kiuchumi. #OktobaTunatikiSamia
Awamu ya Sita inatumia teknolojia kurahisisha, kuboresha na kuharakisha huduma kwa wananchi. #OktobaTunatikiSamia
Serikali inaendelea na ujenzi wa BRT Awamu ya III (KM 23.7) kutoka Gongo la Mboto hadi Jangwani. Tayari ujenzi umefikia 47%. #OktobaTunatikiSamia

📍Babati Mradi wa vihenge vya kuhifadhia mazao na maghala wilayani Babati, Mkoa wa Manyara. Tani 776,000 za mazao zimechukuliwa ambapo lengo la Serikali kuhakikisha ifikapo mwaka 2030 kuhifadhi tani milioni 3. #OktobaTunatikiSamia

Kukamilika kwa daraja la Masagi linalojengwa katika barabara ya Kibirigi–Masagi kunatarajiwa kuunganisha vijiji vya Kibirigi, Masagi na Tyeme katika Kata ya Mtoa, Wilaya ya Iramba, mkoani Singida, na kufungua njia za mawasiliano na masoko ya mazao. #OktobaTunatikiSamia

Hadi mwaka 2020 tulikuwa na hospitali 7 zenye majengo ya dharura. Miaka minne ya Mama amejenga majengo 118, hivyo kufanya jumla kuwa 125. #OktobaTunatikiSamia
Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, mkoani Singida, imeanzisha mradi wa bwawa la ufugaji wa samaki katika eneo la Itigi Majengo, ambalo litatumika kama shamba darasa kwa ajili ya kutoa mafunzo ya ufugaji bora wa samaki kwa wananchi wa halmashauri hiyo. #OktobaTunatikiSamia

Mazingira bora ni msingi wa elimu bora. Walimu, wanafunzi na wazazi, wote wana furaha. #OktobaTunatikiSamia
Uchaguzi ni kielelezo cha msingi cha uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Kwa umuhimu huo, uchaguzi mkuu wa mwaka huu unagharamiwa kwa fedha za ndani. Uwezo huu umetokana na utashi wa kisiasa wa kiongozi wetu, na kuendelea kuimarika kwa uchumi wetu. #OktobaTunatikiSamia
Janja @Classickizito muda huu unadondosha 10 za Je,wajua kwenye #ElimikaWikiendi Mfuatilie sasa!
Muongoza mjadala wetu kwenye #ElimikaWikiendi Xspace ni @CKapilima una swali lolote kuhusu afya ya akili ya vijana? Muandikie atawauliza wazungumzaji wetu leo. #MindyourMind
Mradi wa Maji Kwamaizi ambao utanufaisha wananchi zaidi ya 6,000 wa kata ya Kideleko umekamilika #OktobaTunatikiSamia

📍 Uwanja wa Mashujaa, Dodoma Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaongoza wananchi katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, ikiwa ni ishara ya kuendelea kutambua na kuthamini mchango wa waliofariki wakipigania na kulinda nchi yetu.…