Sabrina🌷
@Officielsajah
No success without effort
*Kama tungelipiza visasi kwa waliotukosea,Kama tungewachafuwa waliotuchafuwa,Kama tungewaharibia waliotuharibia,Leo hii tusingefika hapa tulipo,kuna nguvu katika kukubali aibu,kusamehe,kukaa kimya kuachilia lakin zaid ya yote ni kusimama na mungu.🙏🙏🙏*

I am 48 years old. As a sickle cell warrior, When I was young, I was told that I would not live beyond 18 years, But I surpassed 18 years. Later, I was told that I would not live beyond 21 years, But I surpassed 21 years. Later, I was told that I would not live beyond 25 years,…
Njia ya haraka zaidi ya kuua ndoto kubwa ni kuwa na wapenzi wengi.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ni miongoni mwa Watu Mashuhuri (Eminent Persons) kutoka bara la Afrika walioshiriki katika Kongamano Maalumu kuhusu Maendeleo, Usalama wa Chakula na Uchumi Endelevu wa Bluu barani Afrika lililofanyika tarehe 23 - 24, Julai 2025 katika mji…
Tupendaneni na tuheshimiane maana hatujui mwisho wetu wote Kuna mdada alikuwa mzuri sana Leo nimemuona kaungua na mafuta ya moto Dah! Alivyokuwa Mungu atujalie mwisho mwema . japo hatujui yajayo mbele yetu pia isiwe kigezo cha kulazimishana kupendana na kuheshimiana
Kama mwanaume, asilimia 97% ya msongo wa mawazo yako inapaswa kuwa kuhusu pesa au kazi, si kuhusu nani haongei na wewe.
Kuwasaidia watu ni vizuri, lakini usijifanye kuwa ndio daraja lao la kuvuka kumbuka kuna wakati hawatakupa Thamini nayo inayostahili.
Tujifunze ya kuwa si kila anayetupa msaada anastahili kututangaza kwa watu, ili yule anayetuusaidia kimya kimya anastahili ndiye anayestahili kuheshimiwa #ElimikaWikiendi
Haya ni mafanikio ya miaka mitano (5) ya mageuzi makubwa ya sekta ya Afya mkoa wa Mara ambapo vituo vya kutolea huduma vya afya vimeongezeka kutoka 321 mwaka 2020 hadi 421 mwaka 2025. Kliniki za afya zimeongezeka kutoka 4 mwaka 2020 hadi 11 mwaka 2025, Zahanati zimeongezeka…
Jemedali wetu mwenye hofu ya Mungu tunaye na tunatamba nae mpaka 2030. Oktoba tunatiki ✅️ #kaziNaUtu #TunasongaMbele
My first day at work, wondering how tf did I delete the entire company's database.😅🤦
Ukitaka kufahamu tabia halisi ya binadamu iliyojificha mpe cheo, Pesa au umaarufu
Just hustle, and always remember you are not loved when you have nothing to offer.
To be Honest Kati Development Ikifanikiwa Itawakosha watu wa Dar, Njombe na Mikoa Rafiki ni Hii Chanjo ya UKIMWI, ambayo imepangwa kuanza kutolewa. Gharama zitacheza kati ya 100k-200k na Ni unachanja Mara Mbili Kwa Mwaka.😁