Wiseman
@Bizydan
manwork,Simba Sports Club Fun
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025 katika…

“You can have your own opinion, but not your own facts.” — Talib Kweli
Mama Samia Anakubalika Kila Kona Africa 🌍 yote. Ufipa mnaohisi na kukisia kuwa watetezi wenu kenya Wanamkubali Mama Samia Jungu mle wenyewe
Mnauhakika uyu Heche ni mzima. ? Au tayali Konyagi inafanya kazi yake 😂
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (Korea Infrastructure Finance Corporation)(K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma…
Mama Kizimkazi anawika hadi kwa majiran +254 Samia ni mpango wa Mungu
Wakenya siyo tu majirani, ni ndugu wa kweli. Mapenzi yao kwa Rais Samia ni ushahidi wa udugu wa Afrika Mashariki. Kiongozi mwenye hekima huvuka mipaka ya kijiografia.
Ulikuwa mbunge tuonyeshe namna ulivyobadili jimbo lako😂😂 Haka kajamaa kahuni sana

A TZS 4.5 billion clean cooking energy facility will be constructed in Geita Region to manufacture Rafiki Briquettes, funded by the Rural Energy Agency (REA) and the State Mining Corporation (STAMICO). This will be the fifth such plant, aligning with the government’s target of…
CCM baba lao
kikao mubashara kwa njia ya mtandao @ccm_tanzania hongera sana @SuluhuSamia oktoba 29 tunatiki.
Fuatilia live mkutano mkuu maalumu wa CCM youtube.com/live/A7GtfeFJw…
kikao mubashara kwa njia ya mtandao @ccm_tanzania hongera sana @SuluhuSamia oktoba 29 tunatiki.
Mama anafanikisha #kaziNaUtu #TunasongaMbele
Kizazi Kipya: Kizazi cha Sayansi na Teknolojia Mama anaandaa kizazi kitakachonufaika na fursa za sayansi na teknolojia katika Karne ya 21. #OktobaTunatikiSamia
Kizazi Kipya: Kizazi cha Sayansi na Teknolojia Mama anaandaa kizazi kitakachonufaika na fursa za sayansi na teknolojia katika Karne ya 21. #OktobaTunatikiSamia
Mama anatosha #kaziNaUtu #TunasongaMbele
Uongozi ni utumishi. Uongozi ni kuwa mfano. Uongozi ni daraja, siyo ukuta. #OktobaTunatikiSamia
Uongozi ni utumishi. Uongozi ni kuwa mfano. Uongozi ni daraja, siyo ukuta. #OktobaTunatikiSamia