Michan0
@Namba012
From mass @LFC @realmadrid
Tunaishi kwenye Dunia Ambayo Urafiki ukiisha Siri zako zote unazikuta Mtaani usiwaamini Sana..✍🏾
Sheria namba 7 Bro to Bro "Usimdharau mshikaji ili mfurahishe mwanamke..📌
Usiangalie ulipo anguka Tu bali pia angalia ulipo jikwaa Good morning my friends
kama wewe ni mjuzi wa chocho za kishua Em tuambie, haya ni maeneo gani 😁
Kwa sheria za nchi huyu dogo anatakiwa akomae na masomo na aaachane na shughuli nyingne under 18 😅😅😅
Kwahiyo zigo la miba mmeamua kumtwisha Mangungu ☹️ Kawaroga nani wanetu? 🤔
"Usiseme mtu ana kiburi ila sema ni wewe mwenyewe ndio umekosa nidhamu ya kuheshimu misimamo ya watu wengine"
Mda wa kupata followers 💯✅ Weka handle hapa💯✅ Ongeza followers 100 usiku huu🔥✅
"Sometimes tunaikosa furaha kwasababu tupo busy kuwapa attention wale wasiojali kuhusu sisi kuliko wale wanaojali kuhusu sisi".
"Waliokudharau siku moja watakudharau tena Usipojikaza" Good morning Familia