ππ¨π² ππ¬ππ₯πβ’
@Visix012
|Digital|content|creator|
Goodmorning! Ukiwa tajiri wanajiuliza sana maswali mengi na wengi wanaconclude unatumia ushirikina au wizi au kujiuza ila ukiwa maskini hakuna mtu atapata presha ya kujiuliza imekuwaje na huo umaskiniπ
Furahia Maisha yako Kila siku, Hakuna Dunia Wala Uhai Mwingine Good morning my friends
Usicheke Matatizo ya Mtu Good morning my friends
Kabla ujalala weka handle yako hapa uongeze followersπ―π―β
Lala tu afya yako ya akili ni bora kuliko hiyo cm unayoisubiriaπ€
Weka handle yako hapa tukufollowπ§π§

Acha kushangaa weka handle yako hapa tukufollow mda huuπ―β
Sheria namba 7 Bro to Bro "Usimdharau mshikaji ili mfurahishe mwanamke..π
Another year, another reason to smile. Happy birthday to me.
Leo tena tunaamka sio kwamba usiku tumelala vya kutosha, bali kwa sababu ndoto zetu bado hazijatimia. Good morning wapendwa
Goodmorning! Endelea na maombi ipo siku yatajibiwa na utaona baraka zako zikimiminika
Na mshukuru Mungu kwa kuwa amekuwa mkuu na mfariji wetu kwenye maisha yetu ya kila siku. Tazama ulivyo mwema daima. Good morning X family...
Mungu ni Mungu tuu hata kama hajajibu na kufanya vile utakavyo, mwamini tu. Good morning my lovely friends
Usiangalie ulipo anguka Tu bali pia angalia ulipo jikwaa Good morning my friends