Joseph Mbilinyi
@TheRealJongwe
Businessman/Legendary African Hiphop Artist/Former Member of Parliament for Mbeya Urban/Central Committee Member - CHADEMA/Zonal Chairman-CHADEMA Nyasa.
In the first place, kwa BUSARA za kawaida kabisa Bwana huyu hakutakiwa kuwa JAJI kwenye kesi yetu CHADEMA… NB: Sisi tuna KWERE na TUME pamoja na watu wake kama huyu, hatuwaamini na always wanakuwa na CONFLICT of INTEREST , ni AFFILIATES wa CCM. #NoReformsNoElection

Maandalizi ya Live Band yako vizuri, sasa tunahesabu siku tu kufika Tar 1 August tukutane @caskindar 🔥🔥 @bongoflavahonors @castlelitetz @efmtanzania @deiwakaworld
So marekebisho ya Katiba ya chama yanawezekana tena fasta kwa MTANDAO ?!…Ila marekebisho ya Katiba ya NCHI au hata basi ya Tume huru ya UCHAGUZI tu ndio HAYAWEZEKANI?! NB: Ndio maana Ndugu Polepole anasema ni WAHUNI! #NoReformsNoElection #KataaWahuni

Kuna salamu za Mama hapa kutoka kwa Wananchi wa kawaida…😎 NB: Wananchi hawa wasitekwe/wasikamatwe kwa kutoa maoni yao tafadhali. #NoReformsNoElection
Hahaha walipitisha mgombea Urais kwa ‘spirit’ bila kufuata utaratibu wa chama chao? Hata ukiangalia walioshangilia ni wachache kuliko waliokaa. Meza kuu wote nyuso zimejaa HOFU! NB:Yuko wapi Jaji Mutungi na Sisty wake?Au jukumu lao ni kukwamisha CHADEMA tu?! #NoReformsNoElection
Watu wananitumia hii clip,wanasema wamemiss hizi SWAGGA mjengoni. Mimi nawakumbusha kuwa mpaka kufika hapo,kuna watu WALIKUFA na wengine VILEMA mpaka leo kwa kupambana ili NITANGAZWE! NB:Siko tayari tena kwa Ubunge wenye DAMU za watu.Hata kama NAKUBALIKAJE! #NoReformsNoElection
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa akisalimiana na Maofisa wa Ubalozi wa US, ambao walikuwepo Mahakama ya Kisutu jana kufuatilia kesi ya kubumba ya Mwenyekiti wetu wa Taifa @TunduALissu #NoReformsNoElection #FREELISSU

Mahakamani kwenye kesi ya kubumba ya Mwenyekiti wetu @tunduantiphaslissu leo… NB: We the LEADERS shall safeguard the PARTY to the end✌🏾🔥 #NoReformsNoElection #FREELISSU

Ujumbe huu sio wangu na sikuandika Mimi , hata kama CONTENT yake ina UKWELI… Lakini nakubaliana na msimamamo wa sasa wa Ndugu Polepole kwani hoja zake zina UKWELI mtupu pia. NB: Acheni kutumia jina langu kwenye haya makanjanja kila siku, MATAKO YENU!😎 #NoReformsNoElection

Hii AGENDA ya ‘ #NoReformsNoElection‘ pia imekaa Ki-HİP-HOP saaana…✌🏾🔥 NB: Ndio maana imebamba kila KONA!
Elewa sentensi hii… ‘SI KILA MTU’! NB: Uzuri wa mwanangu huyu huwa hana KIFUA kabisa sio kama Bwana MUDI wa Rufiji, huyu hawezi kabisa kukaa na jambo KIFUANI , kumbuka kauli yake alipokuwa Mwanza kuhusu Mwendazake?!😎 #NoReformsNoElection

Mimi Jongwe, I endorse this STATEMENT from our Vice Chairman @HecheJohn #NoReformsNoElection
Na yeyote anayesema Mwenyekiti wetu @TunduALissu anyongwe/auwawe naye MATAKO yake pia… NB: Hata kama ni Sheikh wa CCM kama huyu! #NoReformsNoElection #FREELISSU

Hii IMEENDA… Umma unaandamana KIVINGINE! 😎 NB: Hii ndio iwe salamu sasa nchi nzima… #NoReformsNoElection
DAAH KMMK WALLAH BONGO!!!!😅 #NoReformsNoElection