Boniface Jacob
@ExMayorUbungo
Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM CHADEMA CC MEMBER
Tumewahi kuwa na vyama kadhaa vikuu vya upinzani. Huko nyuma NCCR walipigwa vita vikali mno kama hivi, wengine wakasaliti wakahama, NCCR ikatema ndoano, raia wakaikatia tamaa. Hata CUF Walipigwa vita sana wakaingia kwenye 18 wakaelekea kibla….raia wakaikatia tamaa…game over.…
RAIA WA KENYA ATEKWA DAR ES SALAAM....! Raia wa Kenya Bwana Mwabili Mwagodi ambaye pia ni mfanyakazi wa AMANI BEACH HOTEL iliyopo wilaya ya Kigamboni jijini Dar es salaam ametekwa na watu wasiojulikana usiku wa tarehe 23 July 2025. Kwa mujibu wa Dereva wa pikipiki iliyo…


FASIHI 1.Mkono mrefu - SERIKALI 2.Maji/Bahari - Tasnia ya Habari 3.Ngadu/Mdudu mwenye roho mbaya - BALILE 4.Samaki - WANANCHI 4.Mtu - Wandishi wote wa habari waliofungiwa kufanya kazi ya uandishi na bodi ya ithibati ya waandishi wa habari (JAB) UJUMBE Serikali inatumia…

BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..? MASWALI KUMI (12) KWA BALILE. 1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..? 2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii anachukiaje akiona mwandishi anakosa taaluma ya Uandishi wa Habari? 3.Balile anawezaje…
Balile huyu ndiye ninaye mzungumzia..! Una swali lingine....?
Njia ya muongo ni fupi! Balile gani unayemzungumzia? Hawa aiyo waandishi wa hanari na hawawezi kufanya kazi za wanahabari waliokaa darasani na kusoma mpaka kuhitimu kuwa wanahabari!...
DJ Fetty ambaye umeanza kumsikia ukiwa kijijini kwenu unatiririka makamasi Siyo tu ana Diploma kama inavyohitajika katika sheria ya huduma za habari, bali ana Digrii ya Mass Communication. Yeye amewakosea nini..?
Imeandikwa kipropaganda hii. Hoja ingekua kama wamesomea uandishi wana sifa kweli ila wakazuiliwa na Bodi ya ithibati. Tujifunze kuheshimu Taaluma zote. Hakuna anayefanya uwakili kama sio Wakili, Hakuna anayetibu watu kama sio Daktari. Kwa nini tuwe na Makanjanja kwenye Media?
NI ZAMU YA VYOMBO VYA HABARI..? Waandishi wa habari nguli na maarufu wa radio na TV maarufu hapa Jijini Dar es Salaam wamefungiwa na Bodi ya ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutangaza au kufanya kazi ya uandishi wa Habari kwa kile kinachoitwa "kushindwa kujisajili katika…




OGOPA MATAPELI OGOPA MATAPELI OGOPA MATAPELI 1.Mmegoma kufanya Reforms 2.Mmezuia ziara na mikutano 3.Mmemfunga Mwenyekiti wetu @TunduALissu 4.Mmezuia shughuli za chama nchi nzima 5.Mmetuzuia tusisafiri nje ya nchi 6.Mmezuia vyombo vya Habari visifanye Mahojiano na sisi.…

"Nihurumie, Ee Mungu,kadiri ya fadhili zako;ufutilie mbali makosa yangu, kadiri ya wingi wa huruma yako. Unioshe kabisa hatia yangu; unisafishe dhambi yangu.Nakiri kabisa makosa yangu,daima naiona waziwazi dhambi yangu.." Zaburi 51:1-19

Tukitoka nje ya chumba cha Mahakama pale Kisutu,tunakaa vikundi vikundi na kuanza Kujadili kama Wanasiasa Vijana. Je njia anayopitia Mh.Lissu sisi vijana wake tungeweza..? Hakika tunapata mafunzo na ujasiri mkubwa, kutoka Kwa Mheshimiwa Lissu namna ambavyo anakabiliana na…

Ni kama Simba anavyotunzwa kwenye nondo za chuma,Hujui atafanya nini ukimuachia huru...! Kama uoga ungekuwa binadamu na unaongea hakika ungetuambia mtu anaye usumbua na Kuuchezea uoga jinsi anavyotaka hapa Duniani ni Tundu Antipas Mughwai Lissu. Boniface Jacob.

Heri ya Kuzaliwa Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti @HecheJohn. Kwa muda mfupi umeonyesha utulivu wa hali ya Juu na ukomavu katika majukumu yako. Mungu aendelee Kukulinda na Kukusaidia Kukiongoza chama chetu katika wakati mgumu na wa kihistoria katika siasa za nchi yetu. Stronger…

Wapo wahafidhina wanauliza, Balozi Polepole alikuwa wapi wakati watu wanatekwa, kupotea na kuokotwa katika viroba Coco Beach huku yeye akiwa kiongozi wa CCM, wakati wa uongozi wa Hayati J.P. Magufuli... Mbona hakujiuzulu..? MAJIBU: Soma paragraph ya nne ya barua ya Balozi…

Dakika za Jiooooooooooooooooooni Kiungo hatari kabisa Balozi Humphrey Polepole anaweka kamba nyavuni na Kunyanyua Watanzania. Watu wote wanaruka ruka na Kukumbatiana. Wahafidhina wa Kijani wamebakia wanaduwaaaaaaaaa,hawaamini kinachotokea.

Tomorrow is the D-Day. 6 years of hard work. Tuko Orange Convention Center, Orlando, Florida. PhD Law & Public Policy. The work is listed in the Library of Congress for future research in law and scholarly writings
Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA! Leo nimepokea simu zaidi ya 20 zote za watia nia ubunge kwa tiketi ya CCM ambao majina yao yamekatwa bila sababu ya msingi katika vikao vya CCM ngazi ya wilaya. Ujumbe wao kwa pamoja ni.... 1.Viongozi wa CCM…
