Moker
@Moker___
@ChelseaFC
Rais Samia aliondoka ukumbini kwa hekima na busara kupisha uchaguzi wa ugombea urais.
Asilimia 99.8 ya wajumbe wamekubali 𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗘𝗕𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗠𝗔𝗗𝗢𝗚𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠 Mtu wa Ufipa unapinga ili iweje hii ngoma haiwahusu sikilizeni mlio tu.
Ulikuwa mbunge tuonyeshe namna ulivyobadili jimbo lako😂😂 Haka kajamaa kahuni sana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (Korea Infrastructure Finance Corporation)(K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma…
Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka historia kwa kuongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali,akizungumza moja kwa moja na wajumbe kote nchini. Huu ndio uongozi wa kisasa unaojali kasi, mawasiliano na
Badala ya kupanga mikakati yao, wameamua kuwa mashabiki wetu wa kila siku 😎
Mama Samia ni Kiongozi wa Ndoto na Dira Mpya! Chini ya uongozi wake, vijana wanatimiza ndoto zao na Tanzania inaelekea kwenye kilele cha demokrasia ya kweli ya uhuru wa mawazo, usawa na maendeleo jumuishi. #KaziNaUtu #TunasongaMbele
Wakenya siyo tu majirani, ni ndugu wa kweli. Mapenzi yao kwa Rais Samia ni ushahidi wa udugu wa Afrika Mashariki. Kiongozi mwenye hekima huvuka mipaka ya kijiografia.
Wakenya wanatambua Dkt. Samia si tu Rais wa Tanzania, bali ni kipenzi cha Afrika nzima🇹🇿🔥🌍
Samia Suluhu Hassan ni jina linalotamkwa kwa heshima kubwa mitaani Kenya.
Mama Kizimkazi anawika hadi kwa majiran +254 Samia ni mpango wa Mungu
Mama Kizimkazi anawika hadi kwa majiran +254 Samia ni mpango wa Mungu
OCTOBA TUNATIKI IWEJUA IWEVUA
Big Brain Dkt @SuluhuSamia #OktobaTunatikiSamia
Hawa Viongozi Wa Chadema Wakati wengine wanapiga porojo za ndoto hewani, hawajawahi hata kuchimba kisima kwa wananchi wao. Maendeleo hayaji kwa picha bali kwa vitendo @HecheJohn

Mnauhakika uyu Heche ni mzima. ? Au tayali Konyagi inafanya kazi yake 😂
📣 Kwa asilimia 99.8 ya wajumbe kuridhia — CCM imeonesha umoja na ukomavu wa kisiasa katika marekebisho madogo ya Katiba ya Chama. Maamuzi ya pamoja, kwa ajili ya mustakabali wa pamoja. 💚💛 #kaziNaUtu #TunasongaMbele