DEUSDEDITH SOKA
@DEUSDEDITHSOKA
Business Administration (BA) | Black Lives Matter | Musician | CEO Broadcast World |Activist | MGOMBEA UDIWANI KATA YA BUZA🙏https://youtu.be/4weWLNfkyw0P
Kupitia barua iliyotoa taarifa kuhusu maandamano ya Jumatatu 19, June 2023. @tanpol Msije kujeruhi watu waacheni tudai haki zetu kwa njia ya kistaarabu na kiungwana, Maandamano ya amani, wanasheria kuweni macho kwa askari yeyote atakayevunja Haki za binadamu utashtakiwa mwenyewe

Wamaasai wa Ngorongoro wanapinga kuondolewa kwa nguvu kutoka Ngorongoro. Serikali ya Samia imewanyang'anya elimu, afya, maji & chakula. Imewafuta kwa maelfu kwenye Daftari la Wapiga Kura. Licha ya ukatili huu, wananchi hawa wamekataa kuondoka kwenye eneo lao. Mimi nawaunga mkono!
Wisdom ceases to be wisdom when it becomes too proud to weep, too grave to laugh, and too selfish to seek other than itself.
Mimi ni mwanageuzi wa miaka yote, mwanaharakati wa miaka yote. Kwahio hilo wazo, wazo tu kwamba naweza nikaenda CCM halipo, hawa hawa hawa madalali hawa” 😂 Mtia nia wa nafasi ya Uraisi wa JMT 2025 kupitia CHADEMA Mhe. @TunduALissu akihojiwa na @chiefodemba Star Tv hii leo.
Baadhi ya Wananchi wa Ngorongoro leo wamekusanyika katika maeneo mbalimbali wakitaka serikali ya Tanzania iheshimu haki zao mbalimbali ikiwemo ya kupiga kura. Baadhi yao wanasema kumezidi manyanyaso katika eneo la Ngorongoro ikiwa ni karibu mwaka tangu huduma za kijamii zisimame
Serikali inatakiwa kujua kuwa wananchi hawapendezwi na mambo wanayofanya ya ukiukwaji wa sheria uliokithiri. Hatuwezi kuvumilia changamoto yetu ya kukosa katiba bora. — @EliahEvarist #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/YYfsIisXY…

Hatujui mikataba ilyoingiwa au inayotarajiwa kuingiwa kwa siri kama inalinda rasilimali zetu, na kama inalinda makubaliano ya msingi. Tunahitaji kuhakikisha serikali inawajibika kwa mijibu wa katiba. — @LaizerLaizer10 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Tunagawa mali zetu kirahisi kwa kikundi kidogo kujinufaisha, uwajibikaji katika katiba ni kamba iliyolegea tunahitaji kuikaza kwa kupitia #KatibaMpya . — @Ginna1710 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtube.com/live/YYfsIisXY…

Kuliko kwenda kuchukua mikopo nchi za watu ingekuwa ni vyema kwenda kuchukua ujuzi wa kuendesha nchi. Tumebarikiwa kuwa na nchi yenye neema ila inakosa utaalamu ambao ingekuwa bora kutafuta ujuzi kuliko kukopa. — @Ginna1710 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Today maasai of ngorongoro demanding their fundamental rights and constitutional rights right to life, right of education, right of freedom of speech right to vote and right to vote and right to get social services as tanzanian.@DEUSDEDITHSOKA @MariaSTsehai @godbless_lema
Hii ni njia ya kistaarabu kabisa ya Kudai haki zinazoporwa na Serekali, "PROTEST" hapa Wananchi kutoka Ngorongoro wanadai haki zao zilizoporwa kwa Nguvu na Rais Samia.
Peaceful Protest by Ngorongoro Residents. They are protesting against massive violation of their basic and fundamental rights.
Leo tumemzika bibi yetu Hannah Kilasa aliyekuwa anaishi Airport ya zamani Mbeya. Tumemzika makaburi ya Iyela. Amefariki 15/08/2024 at 90’s Tunamshukuru Mungu kwa maisha ya bibi. Asanteni mliokuja kutufariji wakiwemo #BawachaMbeya, @mdudechadematz Wakili #Mwakilima, #GwamakaMbugi
Nchimbi: Mhe. Lissu Karibu CCM Lissu: No thanks. Siwezi kuungana na madalali 😆
I never knew this version of Michael Jackson’s “They Don’t Care About Us” - it’s the Prison version! Powerful ✊🏽 Watch full video here: youtu.be/t1pqi8vjTLY?si…
Kamanda makini sana uyu✊
Moja ya Makatibu vijana Genius @GwamakaMbughi aliyewahi kua Katibu wa Kanda ya Kusini na Nyasa, ongera sana kwa kutumikia nafasi hizo kwa weledi nakutakia mapambano katika harakati za kugombea Ubunge Jimbo la Ileje 2025. MUNGU AKUBARIKI NA KUKUTUNZA VIJANA NGUVU YA MABADILIKO
Karibu Ileje @DEUSDEDITHSOKA