Charity
@Consolataally
Hardworking,Bussiness woman. A woman after God’s own heart! 💍 Jesus is the rock of my life! ⚽️Manchester city•
I’m grateful that I serve a God who can see me weak and not talk about me ❤️❤️
Nipo kama mihani 🤣
Upo Kiwanja Gani au na wewe Umefungiwa Ndani kama Mtungi wa Gesi.!!😂
Pesa huna mchumba huna sasa hayo mate yako unayatumia kufanya nini😂😂😂😂😂
Oohh God nibless kama haka 🙏 Seble ipo chini au juu?? Na masters jee?
5-bedroom @sedecbuilders 0747608053
Na kama bado unatumia feni tafuta sana mpunga 🤣
Kama geto lako taa iko juu ya paa katikati aisee tafuta sana hela
🤣pole
Alikuwa ananiambia hajioni mbali bila mimi ila sasa ameniblock hataki hata kuniona 💔
for real am not ready😆🙌🏾 kiburi ipo kwa pick😆🙌🏾 nikikublock ndo imetoka si unblock mtu
You want love? Are you ready to block and unblock?? Are you ready to delete number and save it back again? Change name from “LomL” to “stranger” Are you ready to write long essay, delete it and write “mmmh ” You are not ready!! Relax 🤣
Watakucheka ila mikosi / mikosi katika familia ni hatari .. safiii
Nimekua mtu wa kuogopa sana wanawake kwa muda mrefu na hii ni kutokana na kuogopa kupata, nuksi,mikosi na magonjwa . MUNGU NAOMBA UNISIMAMIE NIWE HIVI HIVI🙏
Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.
CHALLENGE ACCEPTED: BACK BENCHA taja mstari wowote wa BIBLIA ulioweka kichwani ambao unaweza kuutaja bila hata KUUSOMA kweny BIBLIA. Mimi: 👇🏿 Zaburi 71:1 "nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele"