Classickizito
@Classickizito
Nature Lovers |Showcasing the raw beauty of nature, lodges, and travel experiences 🇹🇿 |Tour Guide | graphics design | DStv Tanzania
Chaliii akiwa kazini 🔥 Vile umelelewa utakuwa hivyo kulingana na tabia za wazazi wako giving proper credit 2 Rama the guide 🦮


If you meet cheetah just chill, cheetah only attack human when they feel threat threatened But if you meet Leopard and Jaguar The only thing you do is hoping that the big cat wasn't hungry, cause if you run, you're not fast enough to outrun them #ElimikaWikiendi

Mapema leo, tumefanya mafunzo ya Ulinzi na Usalama wa Watoto Mtandaoni katika Shule ya Sekondari Kimanga. Lengo likiwa kuwaongezea uelewa wa kujilinda dhidi ya hatari za mitandao, ikiwemo Ukatili wa Kijinsia na ulinzi wa taarifa binafsi. #ElimikaClubs #MitandaoPlus #Nikonekt
Grateful... Humbled... Blessed 🙏🏾 🎂🎉🎈 As I celebrate another year of life, my heart is full of gratitude. To my family and relatives, your love is my anchor and everything I need in this life. To my friends, you color my world with laughter, encouragement, and light. Thank…
Mtu unamheshimu vizuri kumbe mfupi.
Mtu unamheshimu vizuri kumbe mfupi.
Ufahamu, pesa, pesa
..Ikitokea umekaa meza moja na Mungu akakupa chance ya kutaja mahitaji yako matatu muhimu,utamuambia nini na nini?
Hapa ni wapi mkuu
Hivi Arusha ukitoa hili ghorofa wanabakiwa na nini?
So mbaya we si ndo umetokea chuo juzi hujalijua jiji vizuri 😂
Nimedats na wadada wengi, ila Wanawake wa kichaga huwa Wana Tabia ya kutulia sana kwenye relationship na hawana Tabia ya kuombaomba hela.!! 🙌
Huwezi nishauri kukaa dar 😂 ni Either niwe na usafiri Binafsi 😂😂 Mdada anapita dirishaji speed ya ngiri😎
Sina mia naweka Nini 😅
Wewe jiweke tu akiba. #Roadtodecember2025💰💳
Vidada be like hela gani hii unanipa alafu ye Hana hiyo hela na hajui inatafutwaje mamae 😂🫵
Ukitambua Baraka zilizopo kwa wazazi, utaacha kumspoil huyo mwanamke ambaye hujamuoa na wala hajakuzalia,
July photo dumps let’s have it.
July photo dumps let’s have it.
Je wajua? The Great Migration ni mojawapo ya maajabu ya asili yanayovutia macho ya dunia kila mwaka. 🧵 👇 #ElimikaWikiendi
Dodoma Kesho Mapema Tu Mambo Ni Moto #NBCMarathon Washiriki Kukimbiza Upepo..!! Na Mbio Zinanoga Zaidi Ukiwa Na #JustFit Sports Gear Uwe Mwepesi. @JustFittz
Je wajua? Neno Ngorongoro linatokana na neno la Kimasai, linalotumika kuelezea sauti ya kengele ya ng’ombe wa mbele (anayeongoza kundi). Kengele hiyo — inayofungwa shingoni mwa ng’ombe huyo — ilitoa sauti ya “ngor ngor” kila walipotembea wakilisha. #ElimikaWikiendi 🧵 👇
🐆 Je, Unajua ...? Duma wanaweza kuwaua wanyama wenye uzito mara tatu zaidi ya wao wenyewe! #ElimikaWikiendi 🧵👇
