kijana mpole
@BesteNicolas
NOTHING SERIOUS HERE✍
Habari wakuu kwa wale wafanya biashara ya kuuza vyakula ivi mchele kilo moja unatoa sahani ngap kwa kawaida🤔
sisi ambao hatuna kazi tunaamka tu kwasababu giza limeisha😓😒😄
Ukiona Umeanza Kutoogopa Madeni Ya Watu, Ujue Utapeli Umeanza Kukomaa.
Baadhi ya watu wanaongea na wew wakiwa na muda lakini kuna ambao wanatafuta mda ili kuongea na wewe Tofautisha✍
Kwahiyo Adam alijuaje kwamba alitakiwa aichomeke kwenye Kuma....Vp kama angekosea njia akamfira Eva ingekuaje???🤔🤔🤔
Wakuuu kwa hapa kigamboni ni sehemu gani naweza enda kuchangamsha nyonga mchana huu?? Msaada 🙏
Ikatokea muda ukarudishwa nyuma ungependa kubadili nini ??
Hakuna zawadi nzuri utaipata kwingine kama UHAI na AFYA njema inayotoka kwa Mungu. Good morning God's People
Hatujasema Hawezi Ila Hafai Hata kusingiziwa Kwamba Mimba ni Yake Yaan hafai hata kuwa baba wa Kambo Ila Watu😂😂😂😂
Ukiangalia vitu ulivyo navyo utapata furaha na kumshukuru Mungu ila ukiangalia ambavyo huna utakosa raha kabisa shukru na Ulicho nacho✍
Kama Kuna Dogo ataka umshauri akosomee ufundi; Kwa sasa utamshauri akasomee ufundi gani ambao unalipa sana ??
✍Tengeneza Kiungo Kwenye Timu Yako Kwa €100m Kila Sehemu Sajili Mmoja Tu Kwenye €20m sajili mmoja, €30m mmoja na €50m mmoja Twende Kazi 😀
