Manka 🌹
@btrcernest
Be brave be strong be happy be positive be true be you 💞
Kwanini isifike wakati tuache njia za mkato tutafute hela kihalali na kwa haki
Ukitaka kuoa mke wa kweli kweli no drama ndani ya nyumba full maendeleo ndoa tamu njoo uchagani pisi ni zimetulia uamue wewe tu 🙌

Usiache kumshukuru Mungu kwa kukuamsha salama tena siku ya Leo. Morning family 🫂🤗
Mimi ukiingia kwenye mtego wangu kutoka ni uombe Mungu sana 😂🙌

Mwenyezi Mungu akapate kubariki haso zetu hii leo zikapate kuzaa matunda🙏. Gm wakuu🤝
Crown Athlete 2009, ⛽️Petrol cc 2490 Winker✔️ sport Rims ✔️ Push Start ✔️ 58,000km Price: 27.5M ( PLUS USAJILI)




Gari ya kwanza Ile inasepa. Ya pili Mali ni shindili😂. KILIMO kwetu ni kama mpira kwa aucho ni kugusa TU. Tunajitafuta 💪
Usimwache usigombane nae mpe anachotaka mzingatie mwanao kama kweli ana akili atarudi kwenye mstari kaa kimya itakusaidia
Mwanamke anajichagulia Kazi, mwanamke anakataa kumpa PENZI mume wake. 💔💔🙌Sasa nini faida ya ndoa🤔 Dah, hii inauma.. tutaoa kweli?? Soma🧵Weka hoja Yako👇🏻 1/5
NIA NJEMA. Kumheshimu Mungu wangu Namtolea roho yangu, Nifanye kazi nipumzike Amri zake tu nishike Wazo, neno, tendo lote Namtolea Mungu pote Roho, mwili chote changu, Pendo na uzima wangu Mungu wangu nitampenda, Wala dhambi sitatenda. Jina lako nasifia Utakalo hutimia Kwa utii…
Ee Baba yetu Mungu Mkuu, Umenilinda usiku huu. Nakushukuru kwa moyo, Ee Baba Mwana na Roho. Nilinde tena siku hii, Niache dhambi nikutii. Naomba sana Baba wee, Baraka zako nipokee. Bikira safi, Ee Maria Nisipotee nisimamie. Mlinzi Mkuu Malaika wee, Kwa Mungu wetu niombee,…