Pilato
@p1Lato
BITCH DON'T KILL MY VIBE.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika tarehe 28 Julai, 2025, Jijini Dodoma. #kaziNaUtu #TunasongaMbele
Bro to Young bro code 1. Make sure unaset Bar mbali na usishushe 2. Chase Career Growth and Kibunda Growth 3. Love your family 4. Dont waste your Money to impress anyone rather than invest for kwa ndoto zako 5. Go gateway / Vaccation with your lovely ones
Hatua kubwa imepigwa katika kumaliza tatizo la maji Geita! Lita milioni 43 za maji kwa siku sasa zinapatikana kutokana na juhudi za Rais Samia. #MajiNiUhai #SerikaliIliyothubutu
Huyu ndiye Mama wa Mageuzi, Mwanamke Jasiri, Rais wa Watu! Dkt. Samia Suluhu Hassan anaandika historia kwa vitendo, sio maneno. Anagusa maisha, anajenga taifa, anasimamia utu, amani na maendeleo ya kweli. Kiongozi wa mfano Afrika na duniani. 🇹🇿 Tanzania iko mikononi salama.
Imeongeza bejeti ya Kilimo kwa wastani wa 334% kutoka 2021, hii ina maana hii; a) Kilimo kinaajiri 65.37 % ya watu wetu kwa hiyo ongezeko lolote kwenye eneo hilo ni linagusa si chini ya watu 40M ambao sensa yetu inasema wengi wao ni vijana. Nimekupa eneo moja tu, kwa kuanzia
Swali: Ni intervention gani VISIBLE ambayo serikali ya Rais @SuluhuSamia imeifanya kupunguza tatizo la ajira kwa vijana kwa scale ambayo wote tunaweza kunyanyua mikono na kusema “HAPA SERIKALI ILIFANYA KAZI?”🤔
Mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndg. Amos Makalla, na waandishi wa habari utafanyika leo saa 11:00 jioni jijini Dodoma. Kila la kkeri watia nia 😃.
Tanzania and Rwanda have signed two memoranda of understanding to facilitate cooperation in agriculture and establishing a Tanzania ports liaison office in Kigali. The agreements, signed on Saturday, are intended to enhance collaboration in the agriculture sector and opening a…
Tarehe 02 August, 2025 yaani Ijumaa ya wiki hii, Mh Rais Dkt. Samia anatarajiwa kufanya rasmi uzinduzi wa kituo cha biashara na usafirishaji yaani East Africa Commercial & Logistics Centre kilichopo ubungo (ilipokuaga stendi ya Ubungo). Hiki kituo kimejengwa kwa ubia kati ya…
"BILA CCM MADHUBUTI, NCHI YETU ITAYUMBA" 2005, HII KAULI ILIKUWA KUBWA MNO🤣🙌
Leo Furaha waliyonayo WanaCCM ni Mpango wa Mda mrefu,Chama kimeanza kujiandaa mda mrefu sana Na uchaguzi,Waliwaandaa wagombea wao kwa kuwapa Taarifa mapema kwa yoyote mwenye nia Aseme haraka sana,Naona ushindi wa asilimia 90% Upande wa CCM Tanzania nzima wanastaili.
"Hongera Sana Kaka Jina Halijarudi ila wakubwa wamekuona" "Comred usikate Tamaa na Chama Chetu Mapambano yaendelee" "Kada umejenga Cv kubwa na uthubutu wako Kuchukua Fomu sii wa kubezwa" "Kaka Mkubwa Naona Wakubwa wameona wasirudishe jina lako ila watakutumia eneo lingine"…
Dodoma | Julai 28, 2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea kuimarisha misingi ya uongozi na utendaji wa Chama kwa kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa ajili ya maandalizi ya…
Uongozi madhubuti wa kisasa ukiwa kazini. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiendelea kusimamia ajenda za chama na taifa kwa weledi, umakini na dira ya maendeleo. Dodoma yazidi kuwa kitovu cha maamuzi makubwa kwa⤵️
CCM Wamekataa usingizi,Kamati Bado ipo mezani Mda huu kuhakikisha Wajumbe Wanatuletea mtu Sahihi,Kiongozi kweli kweli Kwa Taifa la kesho. #KaziNaUtu #TunasongaMbele
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeendelea na kikao chake leo kwa ajili ya kukamilisha zoezi la kupitia na kupitisha majina ya watia nia yatakayorudishwa majimboni kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni.
Mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndg. Amos Makalla, na waandishi wa habari utafanyika leo saa 11:00 jioni jijini Dodoma. Kila la kkeri watia nia 😃.
CCM ni chama bora na chuo cha Demokrasia Afrika, tupo imara tumejipanga na October tunatiki #kaziNaUtu #TunasongaMbele
Kwa kuunga mkono mjadala wazi na mageuzi jumuishi, Rais Samia anafanya CCM kuwa chama kinachojibu zaidi, cha kidemokrasia na chenye uhai.
Kuanzia ngazi ya chini hadi taifa, marekebisho ya katiba mpya ya CCM yanathibitisha kuwa inasikiliza, inaongoza, na inarekebisha.
Hivi ndivyo uongozi jumuishi unavyoonekana—Rais Samia anatoa nafasi ya ukuaji na kuhakikisha mfumo unakua sambamba na mabadiliko hayo. CCM ndie mama wa demokrasia.