NEGATIVETHINKER 🇰🇪🍁
@negtivethinker
JUST FOR FUN, SIMP AND POSITIVE VIBES 💯✌️
find your person and build a beautiful life together. one where you’re both deeply invested in each other’s happiness, healing, and growth.
Unpopular opinion: Never constitute for someones emergencies any howly
Siku moja utaenda na hio simu yako kwa choo vile umezoea ianguke na huko😂😂
Mnafanya aje kupenya kwa hawa vajins,unaguza yeye anakuambia ati ni dhambi Mnipee ideas before nifunge huyu na makamba
Leo Friday ni siku ya vijana kuenda na cv hizo clubs wamama wamejaa
Campus Mbogi hukung'ora mko wengi until Kila mtu a graduate ubaki shule ukifanya supp na freshers😂💔
Hapa club Dj ameweka sound effect ya tarumbeta nikadhani siku ya kiama imenipata nikiwa jaba😂😂
saw somewhere that instead gari za miraa/jabaa zicause accident cause of how reckless they are driven, watu wa jaba wawe wanapelekwe kwa shamba watafune hadi watosheke.
bro to bro: mzee wa nduthi akimulika manzi yako tafuta the way forward