Bree
@Brendahphillip
love travelling//sudoku player// documentary lover
Ndio natoka bed, inahaja ya kumake bed na in few hours i will be sleeping.
Sisi unemployed tunangoja our salaried friends ndio tuseme emergencies zetu
If you going through it all, remember, its your turn. Blessed Sunday Yall.
😂😂😂😂Surely, is love au serial killer traits juu unanote the exact amount of hours sikuwa online.
Kabla tuase ulikua wapi 17hours
Hii masaa pale green app maswali ni ' whats your favourite position'.
Hakuna kitu hukatzia kudate mtu nikaa ako na tantrums,kitu kiasi ashanuna. 😄Heri kukaa hivo than dating some of you.
saw somewhere that instead gari za miraa/jabaa zicause accident cause of how reckless they are driven, watu wa jaba wawe wanapelekwe kwa shamba watafune hadi watosheke.
This is located in Kitengela, twendeni tuibomoe cause what tf is this!!.