bugando medical centre
@BugandoC
all about BMC
BUGANDO YAENDELEA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA. Washiriki na wawakilishi wa Miss Universe Tanzania 2025 kutoka Kanda ya Ziwa wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando Leo julai 25, 2025 lengo likiwa kuchangia damu.




Fr. Paulo Chobo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Mhashamu Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Renatus Leonard Nkwande Kwa niaba ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), amemtambulisha rasmi Sr. Dkt.Alicia Massenga kwa watumishi na uongozi wa Bmc.



kiwa ni Jubilee ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa kwaya ya Mtakatifu Yuda Thadei Epifania Bugando Leo Julai 20, 2025 wametembea Wagonjwa wa fistula katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando lengo likiwa ni kutoa matendo ya huruma kwa wagonjwa.




MADAKTARI NA WAUGUZI WAPATA MAFUNZO YA HUDUMA ZA DHARURA BUGANDO.




"Kimbia changia Matibabu ya Saratani" @cloudsfmtz @cuhasbugando @rs_mwanza @mwachas_bugando @millardayo

DESK AND CHAIR FOUNDATION WATOA VITI MWENDO VYA KUBEBEA WAGONJWA 12 KWA WAGONJWA WA SARATANI BUGANDO.




Wizara ya Afya nchini ikishirikiana na shirika la CDC Tanzania pamoja na wadau wa maendeleo MDH Leo July 11, 2025 wametembelea Idara ya maabara ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando .

"Kimbia changia Matibabu ya Saratani" @cloudsfmtz @cuhasbugando @rs_mwanza @mwachas_bugando

"Kimbia changia Matibabu ya Saratani" @wizara_afyatz @cloudstv @babuuwakitaa_tz @mwachas_bugando @cuhasbugando @millardayo

"Kimbia changia Matibabu ya Saratani" @wizara_afyatz @cloudstv @babuuwakitaa_tz @mwachas_bugando @cuhasbugando @millardayo

"Kimbia changia Matibabu ya Saratani" @wizara_afyatz @cloudstv @babuuwakitaa_tz @mwachas_bugando @cuhasbugando @millardayo
