ICON BOY
@dullahIcon
Businessman || Man and a Half||
Weka desturi ya kila uamkapo kumsalimia mzazi wako ni ufunguo wabaraka kwa siku mpya kwako...
Wanasema okutoba tunatiki watiki wao na bibi zao Sijaona sera za kushawishi
"Unaona serikali au mazingira ndio yanatufanya tushindwe kufanikiwa.?"
Baada ya miaka 16 ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi, rapa Birdman hatimaye alifunga ndoa ya siri na mpenzi wake wa muda mrefu Toni Braxton. Lakini baada ya siku mbili za ndoa Toni aliwasilisha ombi la talaka na kudai fidia ya dola milioni 160. Twende taratibu story ipo hivi…
Licha ya Yote Wananchii Tunakukubali sana Feisal Salum Fei Toto, Zanzibar finest 🔥
Yeye kwenda pekeake ni fresh kabisa ila hawa wengine ni kanyaga twende fair women.😁
Ukiachana na mtuu weekend ndo maumivu yanazidi mnoo unakuwa hauko busy! 😒💔
Ebu jaribuu kumpigiaa tuone kama atakuwa anaikumbuka namba yako!! 😂😂😂
FOLLOW ALL ✅ @ASuruni @Njamasi__ @mchachu_ @BRogamila @web3vortex_ @heisnabeel @bruce_jehu @Kaitoquen @6coo6 @BlacDaady @08x44 @NJENJE_255 @am_the_viper @Sukayotz @BOSSferdd @iammpemba @aidxyx @soste1M @Ashirafu03 @Gabriel99__M @ventz_2 @th30ndlovu @Mnyakyusa_Og @dullahIcon ADD
Anko "Usikate Kwa Sababu Ya Kuchelewa Kupatikana Kwa Unachokiomba. Mungu Anakujua Zaidi Ya Unavyojijua, Na anajua muda sahihi ambao ukipata, kitakuletea furaha ya kweli bila kuuharibu moyo wako...🤲🏽