Daniel Denis Mwemez
@danieldenis600
Clinician at St Benedictin Health Centre
VITU VYA KUPUNGUZA 1) MARAFIKI - kama hawaendan na ndoto zako wapunguze. 2) MATARAJIO KWA WATU- Tena ni dhambi kumtegemea mwanadam,punguza iman ya kwmb bila flani mambo yangu hayataenda. 3) WIVU NA CHUKI - punguza wivu jikubali ishi kulingana na uwezo wako ondoa chuki 👇👇👇👇

Kna namna waafrika tumeanza kujipenda na kushtuka, haka ka movement kanakoendelea chin kwa chini katakuja kua shida san hapo mbele ya hawa jamaa wasiotupenda✊️
Ma daktar tusing'ang'anie wagonjwa, rufaa pia nì matibabu , tunapoteza wagonjwa wengi kwa kulazimisha aponee mikonon mwako, ina umiza san

Tuna safari ndefu san kwenye imani, especially wa kristo 🤔🙏MUNGU2 atusaidie kuijua iliyo kwel.
1. *Yanga 5 - 0 Djibout* Djibout wabovu. 2.*Yanga 5 - 0 KMC* KMC mbovu 3. *Yanga 5 - 0 JKT* JKT mbovu 4. *Yanga 5 - 1 Simba* Simba ni.....🤪 WAVIMBE WAPASUKEEE