Alexander
@AlesandroJR
| Philosophy | Theology | Roman Catholic |Ps 20:7| Pray, Hope And Don't Worry |God wins in the end| Uncouth & Impolite get BLOCKED🚫
ROZARI TAKATIFU, ALHAMISI (MATENDO YA MWANGA) 1. Yesu anabatizwa mto Yordani. - Tumwombe Mungu atujalie uaminifu kwa ahadi zetu za ubatizo 2. Yesu anageuza maji kuwa Divai huko Kana. - Tumwombe Mungu atujalie kuukoleza ulimwengu kwa chachu ya Injili. 3. Yesu anatangaza Ufalme…

NIA NJEMA. Kumheshimu Mungu wangu Namtolea roho yangu, Nifanye kazi nipumzike Amri zake tu nishike Wazo, neno, tendo lote Namtolea Mungu pote Roho, mwili chote changu, Pendo na uzima wangu Mungu wangu nitampenda, Wala dhambi sitatenda. Jina lako nasifia Utakalo hutimia Kwa utii…

Ee Baba yetu Mungu Mkuu, Umenilinda usiku huu. Nakushukuru kwa moyo, Ee Baba Mwana na Roho. Nilinde tena siku hii, Niache dhambi nikutii. Naomba sana Baba wee, Baraka zako nipokee. Bikira safi, Ee Maria Nisipotee nisimamie. Mlinzi Mkuu Malaika wee, Kwa Mungu wetu niombee,…

SALA YA ASUBUHI +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu…

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo Mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏

✝ Ee Bwana uifungue midomo yetu, nasi tutalisifu jina lako. Tumsifu Yesu Kristo!
CHUKI HUMCHOMA ANAYEIHIFADHI "Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso" (Zab 46:1) Sababu inayotufanya tubaki na maumivu makali moyoni ni kupambana kuzuia maumivu badala ya kuyakabili. Tunawategemea wengine watutatulie mateso yetu…

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo Mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina🙏

Uje Roho Mtakatifu uzienee nyoyo za waamini wako, washa mapendo yako. Peleka Roho wako, vitaumbwa upya na nchi itageuka. TUOMBE: Ee Mungu uliyefundisha nyoyo za waamini wako, ukiwaletea mwanga wa Roho Mtakatifu, tunaomba tuongozwe na yule Roho, tupende yaliyo mema, tupate daima…

MALAIKA WA BWANA (ANGELUS) •Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria, Naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. ~Salamu, Maria, umejaa neema; Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu Mama wa Mungu, utuombee…

SALAM MALKIA Salamu Malkia, Mama mwenye huruma, uzima, tulizo na matumaini yetu, Salamu. Tunakusihi ugenini hapa sisi wana wa Eva. Tunakulilia, tukilalamika na kuhuzunika bondeni huku kwenye machozi. Haya basi Mwombezi wetu, utuangalie kwa macho yako yenye huruma, na mwisho wa…

Kumbuka, Ee Bikira Maria mwenye rehema, tokea zamani zote, haitambulikani kuwa umemwacha, mwenye aliyekimbilia ulinzi wako, mwenye aliyeomba msaada wako, mwenye aliyetaka maombezi yako. Nami nimetumaini kwako, nimekimbilia kwako. Ee Mama yangu, Bikira usiye na mfano, nimekuja…