πππ±π¦π’π₯π²_ππ³ π
@_Maxmily
God1st || Chelsea fan || Funny Account || The louder they complain, the more you know you are ahead || You are welcome...!!!
Mwambien yamali aje EPL aone kazi kule wanamkaba kwa macho.π

Mabishano Yoyote yatakayo jitokeza na Wapinzani Wetu. β’Mimi Katika Miaka 4 Ijayo : π£οΈ : "Weka Kombe Lako la Dunia la Klabu "Made of Gold" Mezani " π£οΈ : "Weka Picha ya Timu yako na Rais wa Amerika Mezani" π
Florian Wirtz Liverpool Debut: 0 Goals/Assists 0 Shots 0 Accurate Crosses 0 Key Passes 0 Long Balls Β£150M. Upigaji bado upo.π

Hujajibiwa sms masaa mawili unafuta unatuma tena.π

Joao Pedro alikuwa likizoni wiki chache zilizopita, sasa ni bingwa ndani ya week Moja baada ya kujiunga na Chelsea. π

πππ
Tunataka chakula chetu .π
Usiache kuikumbusha nafsi yako kwamba Mungu yupo,anaona pia anasikia na anafanyia kazi hivo swala la kumuomba halipaswi kuwa na ukomo katu Good morning wasakatonge wenzangu
Nilimpa mda afikilie kuhusu future yetu akaolewaπ
Simu inaitaje na namba zako hutoi
Simu ziite wakuu π€ΈπΌLogo design π±οΈπ»
Mashabiki wa Arsenal Watafikiri mtoto wa Enzo Olivia Anakula Chokoleti. πππ

Unashangaa kila ukikutana na Demu wako anaweka kindege amini usiamini kaka kwenye iko kindege kuna abiria.π
Hii ni Sababu kwa nini hupaswi kwenda kutafuta mke kanisani..βοΈ
Mpenzi wako akiwa Dar es salaam wakati wewe uko mbali nae. ππ
Unatoa pesa unamwambia wakala nshatoa anakwambia nione SMS namwambia sijaiona embu cheki kwako maana kwangu salio wameshakata anakwambia simu haipo hapa kosa ni la nani hapo π€ π€ jamaa anasema hawezi kutoa pesa mpaka aone sms kwangu hivi kama sio usenge ni nini?
Ili muweze kudumu katika mahusiano yoyote kwanza upendo ,uvumilivu bila kusahau kuishi kama pedali za baiskeli kwamba ili baiskeli iende mbele pedali zote haziwezi kuwa juu lazima zipishane moja ikiwa juu nyingine lazima iwe chini