Philip
@PhitMathematic
Founder - intOgroup Creative & Safaris
Haicost chochote kumsalimia mlinzi/ mfanya usafi na kumuaga kwa kumwambia asante, pale unapoenda ofisi yoyote. hujui tu vile hujisikia amani pale unapojali uwepo wake.
😂😂
I wish I was a Zulu man. No future, no respect, just eating a lot of meat and saying bafo all day 😤😤
Nine things young founders take for granted... ✅ Power of Relationships ✅ Financial Literacy ✅ Customer Feedback ✅ Emotional Intelligence ✅ Mental Health ✅ Founders Agreement ✅ Consistency Over Hype ✅ Real Growth Metrics ✅ Kwa Ground Mambo ni Tofauti Keep…
Bhas Babaa hizi Baraka zinatosha
🚨🇹🇿 𝐅𝐄𝐈𝐒𝐀𝐋 𝐒𝐀𝐋𝐔𝐌 𝐀𝐒𝐄𝐌𝐀 𝐍𝐃𝐈𝐎 𝐊𝐖𝐀 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐒𝐂! Namba 6️⃣ maarufu amekubali mkataba wa miaka miwili na Simba SC, tunaweza kuthibitisha. ✍️ Fei Toto ameiambia Azam kuwa hatasaini mkataba mpya — tayari amefanya uamuzi wake. Anataka kuwa sehemu ya mradi wa…
RichMsafi kwa “kiasi” fulani kairudisha FNL mahali Pia ile show yake ya mchana imefanya EARadio kuongeza namba “fulani” ya Wasikilizaji
Wengi sana huwa wananishangaa Kaka
Ukimwambia kijana mwenzako kuwa wewe. Sio Mlevi Sio mtu wa Clubs Sio mtu wa shisha na Bangi Haamini.!!😂
Umetokea Kama Liam Neeson wa Ice Road kaka
You travel, you learn. It was shining, but it was also prohibitively cold. Potsdam. .DE 👊
Simba Day Lini 😂
🚨🇹🇿 Simba SC will hold their pre-season camp in Egypt ahead of the 2025/26 campaign. 🛫 The team departs Tanzania on Wednesday, with preparations set to take place in Ismailia. All eyes will be on Fadlu Davids, who impressed in his debut season and now aims to go even bigger.…