Patrick John Assenga
@Patrick_Assenga
Chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA)
Siasa sio uadui, ila adui yetu sisi WAPINZANI ni chama cha mapinduzi (CCM). #C4C #ChaummaTunaendeaTulipoishia @JohnMallya @JonMrema @LembrusMchome @MwitaJulius2000

Hongereni sana. Kwa kujitoa kutoka kwenye kundi lile la wanaharakati wanaishi nje ya nchi na twiter
Viongozi wa @ChaummaT kama wewe ndio tunaowaamini. Mkisema mtazuia huwa mnafanya kwa vitendo na tulikuona wakati ukiwa diwani ulivyopambana na CCM pale Karimjee.Nyie ni mashine kweli kweli. Sio kama wale nyoko wa Maria na Tapeli nabii Tito.@donminja47 @AdamEzekiel12 @benny_kwayu
Leo nmeshiriki mkutano mkuu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) jimbo la Kinondoni. CCM kama mlidhani hili jambo ni jepesi kwa upande wenu, basi mnajidanganya sana. Tutawakabili vilivyo na tutaulinda ushindi wetu kwa gharama. Safari hii tutafia kwenye huu mtanange.

Nabii wa laana @godbless_lema njoo hapa kuna ujumbe wako😂😂😂

Mliokaribu na Idd Amin Mama mfikishieni huu ujumbe asijeakasema hajaambiwa!
Comments za watanzania kuhusu idadi ya wapiga kura Milioni 37.6 ni AIBU kwa taifa🫵🏾😂 Watu wanasema TUME MNAUHAKIKA tunejiandikisha ili tupige kura? Watu tumejiandikisha ili tupate vitambulisho tukakope SIMU tuje kueneza #NorefomsNoelection Hakika SOMO LA #NorefomsNoelection…
Hasira za WATANZANIA sasa mziamishie kwa kupiga kura nyingi kwa wagombea wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) ili tuiondoe ccm madarakani na kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yetu. Sisi tumejipanga kudhibiti wizi wa kura mwaka huu. @JonMrema @CatherineRuge @HenryKilewo

Tujiandae kupiga kura ya ukombozi October mwaka huu. @CatherineRuge @HenryKilewo @DevotaMinja @MwitaJulius2000 @JonMrema

Mwanachama wa Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Bwana Gilbert Lyimo (kulia), amechukua fomu ya kutia nia kuwania udiwani kata ya kilwavunjo Kusini na kukabidhiwa na Afisa usimamizi wa shughuli hiyo makao makuu ya chama hicho,Rechal Mkadala Fomu hiyo amechukua Leo, Julai 21,…
Niongeze sauti au nipunguzee.??? #C4C #TunaendeleTulipoishia
Safari hii baiskeli zenu pamoja na fedha watachukua na hawatawapigia kura. Watanzania wa leo sio wajinga kama mnavyofikiria. Chaumma ndio mpango mzima. #C4C #TunaendeleaTulipoishia
Honestly siwahwah ona Mmachame mshamba anaefikiri kwa hisia kama G lema... Very emotional and naive old man
Assenga tafadhali muite nabii kwa cheo chake. Anaitwa Tapeli Godbless Lema,mtu muongo anayejifanya kondoo kumbe ni mwa mwitu
FAM daima amekuwa mpatanishi, ndani ya Chama na hata katika masuala ya Taifa. Huo ndio wito wake – ndiyo hulka yake. Lakini cha kusikitisha, wale waliopaswa kusikia na kuelewa wamejifunga kifikra. Wamejizima data. Wanakataa uhalisia, kana kwamba hawamfahamu FAM! Swali;…