CHAUMMA Tanzania
@ChaummaT
Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) advocating for democracy, the rule of law, accountability, and respect for human rights for the advancement of Tanzania.
Wimbo mzima upo Youtube: youtube.com/watch?v=cwazDu… #TushibeSote #RungwekwaUchumiHalisi
KIGOMA LEO. Mwenyekiti wa Jimbo la Kigoma Mjini na Aliye kuwa Diwani wa Kata Rubuga kwa Miaka 15,Mjumbe wa Mkutano Mkuu,kiongozi Mwandamizi wa Chama tangu mwaka 1992 Mhe Omari Gindi na Viongozi wa Kata 19 wapatao 190 na wanachama 800 wamejiunga na CHAUMMA leo Kigoma Mjini.…




Karibu sana Wakili Msomi Sigrada Mligo #Tunaendeleatulipoishia #Pigakurayaukombozi




Katibu Mkuu wa Chaumma Salum Mwalim a kiongozi kikao cha sekretarieti kilichofanyika Ofisi ya Makao Makuu ya chama Hicho Kinondoni Biafra Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine kikao hicho kinapitiamaandalizi ya mkutano Mkuu ambao tarehe na eneo kitatangazwa kesho kwa waandishi…




Matukio picha ya Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kinondoni wana wa kinondoni nao wapo tayari kupiga kura ya Ukombozi. #Tunaendelatulipoishia #Pigakurayaukombozi




Leo July 27,2025 Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Mh.Salumu Mwalimu ameshiriki mkutano Mkuu wa Jimbo la kinondoni na kuweza kukabidhi kadi kwa wanachama zaidi ya 250 waliojiunga na Chama. Mkutano huo ulihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa chama na Mtia nia Wa…




Leo July 27,2025 Naibu katibu Mkuu Bara wa CHAUMMA Mh.Benson Kigaila akizungumza na wanachama pamoja na watia nia wa Udiwani na Ubunge Jimbo la Bagamoyo. 📍MKOA WA PWANI #Tunaendeleatulipoishia #C4c #Pigakurayaukombozi

Leo July 24 Mh. Benson Kigaila Naibu katibu Mkuu wa Chaumma upande wa Bara amefanya kikao na watia nia wa Ubunge katika Majimbo ya Kanda ya Pwani kikao ambacho kimekaliwa katika makao makuu ya chama Biafra Block 41 Kinondoni




Katibu Mkuu wa CHAUMMA Salum Mwalim leo amepokea mapendekezo kuhisu sifa, vigezo na mchakato wa ndani ya chama wa upatikanaji wa madiwani,Wawakilishi na Wabunge wa Viti Maalum kutoka Kamati ndogo aliyoiundwa kukusanya maoni ya wanachama na viongozi wanawake kuhusu jambo hilo…




Uongozi si maneno, ni utendaji. Mwanamke akiwa na maono, jamii hubadilika. Naamini katika siasa zenye utu, usawa na maendeleo kwa wote. #Msubhati – Mwanamke Jasiri, Jimbo Imara 💪🏽✊🏽 #SautiYaMaendeleo #2025 #MabadilikoYaanzaSasa”
Mtia Nia Wa Segerea Mh.Agnesta Kaiza aendelea kuimalisha chama Kata kwa kata Ndani ya Kata ya Segerea ukumbi unaonesha Upo tayari kwa Ukombozi




Leo Julai 23, 2025; Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ambaye pia ni Mratibu wa Uchaguzi Kanda ya Serengeti Mhe. Catherine Ruge amefanya ziara Jimbo la Tarime mjini, Mkoa wa Mara. Mkurugenzi amekabidhi fomu kwa Mtia nia wa Ubunge na…
Mkoa wa Katavi, jimbo la Mpanda mjini, kata ya Kakese, Kijiji cha Mbugani wananchi wagombania kadi Za Chaumma Leo hii 23/7/2025, hakika moto umeungua maji yamelowana na vumbi limechafukaaaaa🤜🤛
Leo Julai 23,2025 Katibu Mkuu wa CHAUMMA Mh.Salum Mwalim akiongoza kikao cha Sekretarieti kilichofanyika Ofisi za Makao Makuu ya chama hicho Kinondoni Dar es salaam.




Tukio la uchukuji fomu wagombea udiwani kata na ubunge majimbo ya Ulanga Kilombero na Mlimba kwenye kikao cha Naibu katibu mkuu Kigaila kilichofanyika mjini Ifakara tar. 23 Julai 2025.




Tukio la uchukuji fomu wagombea udiwani kata na ubunge majimbo ya Ulanga Kilombero na Mlimba kwenye kikao cha Naibu katibu mkuu Kigaila kilichofanyika mjini Ifakara tar. July 23, 2025.



