Njoki🇰🇪
@NjokiMaggi
Make your days count, don't count them☺️🌺
There is so much corruption happening in the county governments.
Another day to celebrate the gift of life, good morning Kenyans?
Amka utafte pesa za kutumia December hakuna mtu atakuwa na 2k ya kukupea urgently.
Usiwaijituma kazi ya mtu Ni kama Ni yako. Utakua mgonjwa, Na utakufa bure. Na biashara yake itaendelea. Fanya kazi yako vizuri, Na uende nyumbani kwa familia yako.
being able to pay your bills, save & have spending money is a blessing
Napenda this men with skin care routines and thighs like tree trunks
Kuna vita fulani nimeona opportunity ya kupeana English aid mbili tatu, lakini staki kupikwa 😂
Kuwa bodyshamed hio ni ya wazungu,hii yako ni kuambiwa ukweli.
One day our lastborn stole my cookies, shared them na mum, Nilipata watu wakicheka kama wendawazimu😂😂mum akaniambia mbona leo wako na kichwa kubwa😂 also told dad mbona amekaa kwake sana😂
A real man can go 180 DAYS WITHOUT P0RN,BHANG, AND SEX. ARE YOU REAL.
Kijana anakwaambia forex Iko na pesa baadae unashtukia ameanza kutembea kama Dem Ako third trimester 💔😅
If the interview ever includes tasks based on the company, then that's a red flag 😂😂wdym you’re presenting to a board of directors?😂😂😂