ikulu_Tanzania
@ikulumawasliano
Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa Mtumba Jijini Dodoma tarehe 25 Julai, 2025.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma leo, tarehe 25 Julai, 2025.




MHE. RAIS DKT SAMIA AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA, MTUMBAA-DODOMA. x.com/i/broadcasts/1…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ulioongozwa na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wake Bi. Julia Evelyn Morley, Mshindi wa Miss World 2025 Bi.Opal Suchata Chuangsri kutoka…




Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Miss World Limited Bi. Julia Evelyn Morleymara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri pamoja na Miss World Africa na mshindi wa pili kwa mwaka 2025 Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia mara baada ya mazungumzo…




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Miss World Africa na mshindi wa pili kwa mwaka 2025 Bi. Hasset Dereje Admassu kutoka Ethiopia mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassanakisalimiana na Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe mara baada ya kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha nakala za vitabu vya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 mara baada ya uzinduzi katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya heshima na shukrani kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Profesa Kitila Alexander Mkumbo kwenye hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika…




MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050, DODOMA TANZANIA x.com/i/broadcasts/1…
MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050, DODOMA TANZANIA x.com/i/broadcasts/1…