Juma Ayo
@JumaAyoo
Sports Presenter at @crownMediaTz admin sports reports Tz African soccer updates player,teacher call.+255753432582
Wagombea Waliopigwa chini? 1. Mhe. Gambo 2. Mhe. Lukuvi 3. Mhe. Mpina 4. Mhe. Msigwa Tutaona Mengi Wanangu 😂
Congratulations Morocco qualifying Back-to-back WAFCON finals for Morocco. 🇲🇦👏 @soka25east
Pleased to take the next step in my football leadership journey as the new CEO of Kagera Sugar FC 🇹🇿 Grateful for the opportunity & excited to begin a new chapter at an iconic club with deep roots & a rich history. Let’s write the next great chapter together 🤝Wanankurukumbi 💪🏾
Iconic picture of Didier Drogba, Salomon Kalou and Mikel Obi meet in Ivory Coast 🇨🇮 🔥🔥🔥
TETESI: Klabu ya Simba iko mwishoni kukamilisha kila kitu kwa Pacome Zouzoua na tayari mkataba wa miaka 2 imeandaliwa kwa ajili ya kiungo huyo wa mpira anayekipiga Yanga. Pacome kwa sasa yupo kwao na Mazungumzo inaelezwa kukamilika vimebaki vitu vichache ili asaini kandarasi

Crown sports iko hewani...kati ya Zimbwe jr na Boka nani ni bora zaidi?

Asanteni kwa kusikiliza KASRI la @Salym wiki nzima 🙏
Watangazaji watatu kutoka radio ya Mjini Fm. Wamefungiwa kujihisisha kabisa na Utangazaji, Mara baada ya kum-Bully live dogo pateni kwenye Interview. Na kugoma kabisa kuomba msamaha. Asubuhi hii waliitwa na bodi ya ithibati. Soma barua.. Video kwa Comments 👇
Nakuanga very curious kujua what happens when a person dies
🗣️ Infantino to Trump: "He's Italian." 🗣️ Trump: "I know, I know. Congratulations."
Hivi mnajua magodoro yana Expire Date? 😀
Kuna Fukuto Kubwa Sana Linakuja Ndani Ya CCM Kuna Kete Zinasukumwa Kiustadi Sana PM Kutangaza Kutogombea, Polepole Kujiuzulu Ubalozi N.k Sio Mambo Yanayotokea Kwa Bahati Mbaya Muda Huu Mpaka Kufika November Inatakua Ni Miezi Migumu Zaidi Kwa SSH Sidhani Kama Atatoboa!!
Trust me Kama Utani Baba Levo anaenda Kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, na ninaamini asilimia 100 atafanya makubwa Kuliko Zitto Kabwe.
Ukijua uchungu wa kutafuta pesa , utaheshimu kila kiasi utakachopewa hata kama ni kidogo na utamuheshimu yule anae toa pia🙌