Mamasita Emanuel
@EmanuelMam48025
BREAKING NEWS. CCM KUFANYA MAREKEBISHO MADOGO YA KATIBA KWA NJIA YA MTANDAO.
Hao majamaa wanajua sana kazi Yao kwa kweli mungu awapambanie

Mimi Siyo CHADEMA, Wala Sifungamani na Msimamo wa CHADEMA katika utekelezaji wa majukumu yangu au mahusiano na rafiki zangu. Mimi ni mwanachama wa NCCR-Mageuzi, chama ambacho naamini katika misingi yake ya awali ya kupigania mageuzi ya kweli. Hata hivyo, sitakiwi kuwa mtumwa…
Nguvu ya Watu mungu huitikia kilio chao#no Reforms no election

Vita vya kiroho tumeshashinda ila wengi hawaamini! Msihofu tuendelee kupambana hadi tuone kwa macho yetu ya kibinadamu ushindi! Waovu wanahaha ila mwanga umeshaanza kumulika na sisi tuko mbele 🔥 The spiritual war is over , now we wait for our victory over Evil to manifest 🙏🏽
Ibada ya kumuombea Mdude Nyagali ambayo ilipangwa kufanyika Kanisani la Mitume Mafyati, Mbeya mjini. Imehairishwa kwasababu Kanisa lipokea maelekezo kutoka juu kwamba wakiruhusu ibada hii ikifanyika yatawakuta yaliyomkutana Askofu Gwajima. Kama nchi tumefika mahali pabaya sana.…
Tuache wafu wazike wafu wao! Msimamo wa chama aliotuachia Mwenyekiti ni #NoReformsNoElection akirudi akute tulikua watumishi waaminifu, atukute tunaimba wimbo ule ule aliotuacha nao! #NoReformsNoElection
Kama ni ukweli basi UNYAMA SANA.🔥 REPOST 500 #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
👇🏾👇🏾 Consequences! Mnakumbuka nilikuwa nawatonya mambo ya Bi Kizimkazi kuvuruga huko TISS Akiamka anafanya maamuzi akilala anaghairi! Sasa KIMEMRAMBA 😁 hana sapoti ndani huko! Yaani huyu mama anaanzisha vita na kila mtu 🙄
Director General of Tanzania Intelligence and Security Services in 48 hours went from DG to Principal Secretary to be unemployed 🤪 Power play that honestly is of little interest more than entertainment for those of us who know #Tanzania well How it started VS How it’s going
This beautiful day! 🙌🔥 Tulishindia nchi sio chama peke yake!
Retweet kama unamsikiliza Mwenyekiti akiomba kura sasaivi? #Lissuanatosha
Moshi! 🙌 2020. Hawana budi kumfunga! Hawawezi kushindana nae!
Nimesoma Maombi haliyowasilishwa na @AAgather na @bonifacemwangi dhidi ya AG wa Tanzania. Muhimu zaidi, wasiojulikana wametajwa. Mafwele na Haji Omar Kheir (Mshauri wa Rais) Unaweza kufikiria tuna nchi hovyo namna gani kama mshauri wa Rais anateka na kuwadhilisva watu kingono
Mwamba kasema ccm ilichagua Watu ambao hawana maadili

Kwanza nimefurahi sana kuona ninachokiona sasa.🙏🏿 Mrisho mpoto LILE CHAWA mpaka linalithisha MTOTO uchawa limefiwa. Limepoteza MKE. Sasa limejichanganya limepost msiba wake. Watanzania Wamelipokea VILE LIMEKUJA. Kiukweli Comments zinafariji sana. Sisi wapenda HAKI tumekunwa…
NO REFORM NO ELECTION 1. Kiswahili – Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi 2. Kiingereza – No reform, no election 3. Kifaransa – Pas de réforme, pas d'él
