Cosmas Edward 💫
@EdwardCosmas
Philosopher & Theologian | Writer and Editor | Agronomist
Kuna kitu watu wengi hawajui… Afya ya uzazi kwa mwanaume ikianza kudhoofika, haiji kwa ghafla – huanza taratibu: Mwili kuchoka haraka, kushindwa kurudia tendo, au uume kulegea bila sababu ya moja kwa moja. Wengine hujifanya kawaida, wakidhani ni stress au kazi nyingi. Lakini…
Si uchafu wa nguo unao mtia mtu doa, bali uchafu wa maneno yanayo toka kinywani mwake.
Pendeza Kwenye Harusi au Send-off Yako na @suitmseleleko! 🔥 Je, unajiandaa kwa ajili ya harusi au send-off yako na unataka kung'ara? Usihangaike! @suitmseleleko tumekuletea suti kali zenye vitambaa vya kipekee kutoka Uturuki zitakazokufanya upendeze kupita maelezo! ⬛Bei Zetu:…
Good morning familia...💪💪💪💪 Asanteni sana kwa wish zenu wakuu japo nimekula magimbi kama cake ila nimefurahia kwa wish zenu tu upendo bado upo Duniani🫶🫶🫡🫡🫡
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa... Happy birthday to me..🎉🎉🎉🫶🫶
Kama jua linavyo amka kwa uaminifu kila siku, vivyo hivyo neema ya Mungu huja upya kila asubuhi. Moyo wa shukrani huvutia baraka mpya. Good morning!
Good morning wapendwa WHITE DINNER SET KAMA ILIVYO PICHANI TSH 50,000 0755 693 113 📍 DUKA LIPO UBUNGO EXTERNAL, MIKOA YOTE TUNATUMA @Sativa255 @MiriamMkanaka
ZIPO DUKANI TSH 55,000 UNAKUA UNASAGA JUICE YAKO FRESH NYUMBANI😋 0755693113 📍 UBUNGO EXTERNAL
Tui la nazi si baya katika safari yako ya kupungua. Ni salama kabisa maana mafuta yake hayana rehamu mbaya( cholesterol) #ElimikaWikiendi
Kuwa mwema ni zawadi, lakini kuwa na mipaka ni hekima.
Utaishi maisha yenye hofu sana na mwisho utaishia kwenye maisha yenye maumivu kama utawaruhusu watu kutokuheshimu mipaka uliyojiwekea, na kutaka kila mtu akupende.
Ajabu nyingine ni pamoja na kuwa watu muhimu katika maisha huwa hawaombi sana muda wako, lakini wakitoweka, utatamani ungewapa hata sekunde kumi zaidi. Usi sahau kuwajali watu wako wa mhimu!
Ligi zimerudii Odd zinaanza kushushwa anda mtaji wako huku ukiwa na kampuni safi kabisa ya kubetia #DBbet.. Depost na withdraw mitandao yote💥💥 Huna account? Jisajili (Register)👇 Link 👉 url-shortener.me/2EMO 🌺Promocode Andika: MZUNGU Weka promo code upate bonus.💵💵💵
#ChapaRepost Keshoooooooo tuna #BreakinNews nyingi sanaa kama mchanga Tukutane sa mbili hapa hapa X Space kwa @MissChelsea1221 @FKihamu @PKishamba @PresenterNoah 👉Wana #Chelsea na msio Chelsea tunaomba mtusaidie kupost kwa kurasa zenu,Kila mmoja na asikie habar ya kusisimua…
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei jezi ya sasa 27,000/= 👉Bei jezi za zamani(Vintage) 35,000/= Wa.me/+255623346245 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA🛍️🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44/45 ✅Bei 110,000/= Wa.me/+255623346245 📍Kariakoo
Sikiliza moyo wako, penda kwa heshima, tafuta riziki kwa bidii, na mpe Mungu nafasi ya kwanza, kila kitu kitakuja kwa wakati wake.
Kilicho kosekana ni Hekima ya uongozi, ni huzuni!
Ukishakuwa na kodi halafu unaona watu wanaikwepa kaa chini tafakari(inawaumiza), me ningewashauri mngepunguza VAT kwanza ikawa kama Zanzbar 15% tukaanzia hapo.