Geronimo Pratt
@AguMwalwayo
Survival of the fittest is the order of the day
Ngwair ndo mtoto wa kihuni kutoka mtaa na kuishi na watoto wa kishua kama Fred.
Yes huu mwaka nirudi tena shule baada ya Kumaliza bachelor 2014 Ukiwa unasoma soma sana uzeeki
Mwaka 1962 Chama cha Ukombozi wa Comoro (MOLINACO) kilianzishwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua za awali za kupigania uhuru wa nchi hiyo. Leo nimepata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Comoro. Hakika, ni jambo la kujivunia kuona mchango…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaaga kwa kuwapungia mkono Waumini wa Kanisa la Arise and Shine mara baada ya kuhitimisha halfla ya ufunguzi wa kanisa hilo lililopo Kawe Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 5 Julai, 2025.
"𝗠𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲𝘇𝗶 𝗠𝘂𝗻𝗴𝘂 𝗮𝗺𝗲𝘀𝗵𝘂𝘀𝗵𝗮 𝗱𝗶𝗻𝗶 𝘇𝗶𝘄𝗲 𝗺𝗶𝗼𝗻𝗴𝗼𝘇𝗼 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗺𝗮𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘆𝗲𝘁𝘂."-𝗠𝗵𝗲. 𝗥𝗮𝗶𝘀 𝗗𝗸𝘁. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongambele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.
"Misingi ya amani huanza kwenye mioyo ya watu wa Mungu. Tukiwa na maombi, mshikamano na maadili, basi maendeleo ya kweli yatawezekana." — Mhe. Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya KufunguaKanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam.
Bi mkubwa kwenye kuajiri ameupiga Mwingi mnyonge haki yake Mpeni kuna dogo najua Kapata Ualimu na shule Pia kajenga za kutosha

Mama akawaletea Dira ya Taifa kitu ambacho tullitakiwa tushukuru
Kuna sisi wa kupata mbili tatu warokole wa kisasa vijawaja vilivyo karibu na kituo cha mafuta. Au kiwaja kikali ila kiko kituo cha Mafuta kama weekend car wash. Au ni uzee.
Jaman Zigo la moto kutoka jikon Ndio nafunga wateja karibun sana Naomben na rt zenu
Siwezi kuingilia Mungu mipango yako but Mdogo wangu Umemchukua mapema mno r.i.p

Naomben mrepost ifike mbali my customer anaweza akawa kwa timeline yako 🙏🏽
Wateja wangu wazur mzigo wa moto karibuni sana🙏🏽. Naomben rt zenu ata kwenye semina naleta jaman ma boss zangu msiniache😊
My first car ilikua brevis mwaka 2017 hapo chuo nimemaliza 2015.

Kuna sisi Wazazi wetu walifariki tukiwa wadogo na hawakua na Nyadhifa serikalini na tumekua na hatujawa watoto Wabaya ni Jambo la Kumshukuru Mungu 🙏🙏🙏