URT Updates
@urtupdates
Updates from the United Republic of Tanzania #URTUpdates
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @SuluhuSamia akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa @ccm_tanzania Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025 katika…




Her Excellency, Tanzanian President, Hon, Dr. @SuluhuSamia met with and held talks with the President of the Korea Finance Corporation (K-FINCO), Dr. Eun-Jae Lee, who was accompanied by her delegation, at the Chamwino State House in Dodoma on July 26, 2025. @koreanembassy…




Tanzania and Rwanda deepen ties! 🇹🇿🤝🇷🇼 FM @AmbKombo opens the 16th #JPC meeting in Kigali, highlighting key projects like Rusumo Power, OSBP & SGR. He calls for more collaboration in trade, ICT, energy & more. Rwanda FM @onduhungirehe hails 🇹🇿 as strategic partner, with 70% of…
Tumejipanga vizuri CHAN2024, Msitha Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bi. @NeemaYMsitha amesema, Tanzania imejipanga vizuri maandalizi ya kuelekea ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN2024), yanayotarajia…

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Prof. Peter Msoffe amesema miradi ya nishati safi ina umuhimu katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi yanayotokana na ukataji wa miti. Amesema hayo wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jiko la Mfano (model cooking school…




DR. TULIA LEADS ADOPTION OF NEW UN RESOLUTION The Speaker of the National Assembly of the United Republic of Tanzania @bunge_tz and President of the Inter-Parliamentary Union (@IPUparliament), Hon. Dr. @TuliaAckson, has announced significant achievements in strengthening…
H.E. President of Uganda Hon. @KagutaMuseveni and his Wife @JanetMuseveni launched the official logo, jersey, and media channels for CHAN 2024 at Kololo. This tournament symbolises much more than just sport; it is a powerful vehicle for enhancing global image and creating…




DEPUTY FOREIGN MINISTER CHUMI MEETS WITH QATAR'S AMBASSADOR IN TANZANIA Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Cosato Chumi (MP), met with the Ambassador of the State of Qatar, Hon. FahadRashid Al Marekhi, at the Ministry's offices in Dar es…




NGORONGORO CRATER CAPTIVATES MAYOR OF DALLAS, USA—VOWS TO RETURN WITH HIS FAMILY By Mustapha Seifdine, Ngorongoro Crater July 25, 2025 The Ngorongoro Conservation Area (NCA) continues to attract prominent global visitors, and today, the Mayor of Dallas, Texas, Hon. Eric…




KRETA YA NGORONGORO YAMVUTIA MEYA WA JIJI LA DALLAS MAREKANI, AAHIDI KUREJEA NA FAMILIA YAKE Na Mustapha Seifdine, Ngorongoro Kreta. Tarehe 25 Julai, 2025. Eneo la hifadhi ya Ngorongoro limeendelea kuwa kimbilio la wageni mashuhuri duniani ambapo siku ya leo, Meya wa Jiji la…




Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania🇹🇿) Zara Tanzania Adventures, wanakualika ewe Mtanzania kushiriki Kupanda Mlima #Kilimanjaro na Kuipeperusha Bendera ya Tanzania 🇹🇿, katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro, Disemba 2025. kwa Garama Nafuu kabisa. Wasiliana…

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Uwanja wa Mnara wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma, tarehe 25 Julai 2025. Maadhimisho hayo yameongozwa na Rais wa Jamhuri…




𝗖𝗖𝗠 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗘𝗕𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗠𝗔𝗗𝗢𝗚𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗘 - 𝗖𝗣𝗔. 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗟𝗟𝗔 "𝘾𝙝𝙖𝙢𝙖 𝘾𝙝𝙖 𝙈𝙖𝙥𝙞𝙣𝙙𝙪𝙯𝙞 (𝘾𝘾𝙈) 𝙠𝙞𝙢𝙚𝙞𝙩𝙖 𝙢𝙠𝙪𝙩𝙖𝙣𝙤 𝙈𝙠𝙪𝙪 𝙈𝙖𝙖𝙡𝙪𝙢 𝙨𝙞𝙠𝙪 𝙮𝙖 𝙠𝙚𝙨𝙝𝙤 𝙅𝙪𝙢𝙖𝙢𝙤𝙨𝙞 𝙩𝙖𝙧𝙚𝙝𝙚 26 𝙅𝙪𝙡𝙖𝙞…
Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ Julai 25,2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi. Mheshimiwa Majaliwa alipokelewa na Balozi wa Tanzania UAE Luteni Jenerali Mstaafu,Yacub Mohamed na watumishi wa ubalozi huo. @UbaloziUAE




Taifa Letu, Umoja Wetu, Tushikamane.
Julai 25 kila mwaka ni siku muhimu kwa Taifa letu, Siku ya Mashujaa, ambapo tunaungana kuwakumbuka na kuwashukuru wale wote waliotoa maisha yao kupigania uhuru na kulinda amani na heshima ya nchi yetu. Tunaendelea kuwaombea wapumzike kwa amani. Tunapowaenzi mashujaa wetu, sote…
Julai 25 kila mwaka ni siku muhimu kwa Taifa letu, Siku ya Mashujaa, ambapo tunaungana kuwakumbuka na kuwashukuru wale wote waliotoa maisha yao kupigania uhuru na kulinda amani na heshima ya nchi yetu. Tunaendelea kuwaombea wapumzike kwa amani. Tunapowaenzi mashujaa wetu, sote…