Sunday Victor
@sundey_fx
Forex & Crypto Full Time Trader | 7+ Years of Experience | I Will breakdown Fundamental & Technical Analysis For You | GOLD & GBPJPY Pro | DM Me For Mentorship
Hakuna mtu alie wahi kutajirika kwa mshahara. 2024 anza kufanya hivi kuufikia utajiri. Uzi.

Chukua hiyo faida kidogo ondoka soko halijua kama unamtaji mdogo.
Tuweke matani pembeni, Hivi Forex Brokers wanatengezaje faida?
Forex ni kitu cha ajabu sana, Sasa hivi kuna mtu ana sell Gold, Mwingine ana Buy, Na wote wanategea kupata faida
Bro! Hakuna cha kuogopa kwenye hii dunia, -Kufa! Kila mtu atakufa. -Aibu! Watasahu siku 1 tu. -Kufirisika! Pesa huja na kuondoka. -Kufeli! Kila mtu alishawahi kufeli. -Kukosolewa? Huwezi kufurahisha kila mtu. Hakuna cha kuogopa bro, Pambana kupata maisha unayoyataka.

Bro! Matajiri wengi duniani ni: -75% ni Wafanyabiashara, -15% ni Wawekezaji, -7% ni Wanamichezo, -3% ni Wasanii, -0% ni waajiriwa, Hakuna aliye tajirika kwa kutegemea mshahara peke yake. Ajira ni mtego.
Market sessions. London session -EURUSD -GBPUSD -XAUUSD -GBPAUD Newyork session -XAUUSD -USDJPY -EURUSD -US30 -NAS100 -USDCAD Tokyo session. -USDJPY -GBPJPY -EURJPY -AUDJPY
Content creation ndio real estate ya 2025, Anza kutengeneza Content mtandaoni kwa kujenga personal brand, unatakiwa kua na home office yakwaida tu, Kiti kizuri, Menza nzuri, Microphone, Ring light, Laptop, Hii ni office tosha

I don't use ICT I don't use turtle soup I don't use imbalances I don't use fair value gaps All I use is S&R and Price action. Simplicity.
"Law does not operate retrospectively, it operates prospectively." This is general rule.
Sheria huwa haipigi reverse Sheria ikitungwa leo, ni kwa matumizi ya kesho Mabadiliko yoyote ya katiba ya CCM ni kwa matumizi ya mbeleni sio ya nyuma
Kijana umri kati ya 20-30 ukiweza ku control nyege 90% ya matatizo yako utakua umeyashinda.
Una smartphone, bundle la ku tweet, maana yake tatizo lako sio ajira tatizo lako ni mindset tu.
Wakuu habari zenu ebu nipeni mchongo wowote wa halali naishi arusha mjini nina 25 years,nina afya njema,elimu nina vyeti vya form 4,6 na JKT,nina kitambulisho cha kura na nida, sijawahi kukamatwa na polisi wala kesi yoyote.LENGO NI KUISADIA FAMILIA YANGU NA MIMI MWENYEWE 🙏🙏
Get a mentor sooner
If you could go back to Day 1 of your trading journey... What’s the ONE thing you’d do differently? ✅ Journal every trade? ✅ Focus on psychology? ✅ Get a mentor sooner? ✅ Not start trading at all? Drop your answer below. Someone out there might learn from your lesson. 👇
Lala masaa 7-8 usiku, Amka saa 11 alfajiri, Danya mazoezi 4× kwa week, Fanya kazi masaa 6 kwa siku, Kunywa maji litre 2 kwa siku, Kuna aina ya tunda 1 kwa soku, Tengeneza/personal bran mtandaoni, Rudi hivi kwa miezi mi 5 iliobaki, Hautakua masini tena, teeeena.
Don’t take on more risk to increase your returns. You’ll eventually blow up. Instead, regularly add funds to your account and let your returns compound. You’ll earn 100 times more without the stress.
Utangundua kua serikali yetu imefeli kabisa kwenye maendeleo ya technologia. Betting na casino zinatambuliwa kisheria lakini Trading na Cryptocurrency hazitambuliwi kisheria. So sad!