Sperm ya Murima
@mugikuyu12
Chelsea die-hard
Marej n ngumu..saa ngapi saizi mtu ashafkuza bibi kwa ploti mangai 😂
Huko mnaambiwa lazima jezi iandikwe jina yake ama ni mimi peke yangu
Hakuna heartbreak mbaya kama ile enzi ukiwa primary utoke shule alafu ukute hakuna mtu nyumbani na hakuna chakula bana
Niko free sasa mbogi ya gain train shusheni handles tugurumishe gain train mbili .
Nimetoka kumnunulia Jersey nikapata amepost ingine si mseme tuko wengi tukule pesa zetu
Mental health champion kumbe ni Bois Wa kuharibu hio mental health 😂😂
Mtu asikuambie, money is money even if it's dirty money bana
Kuna huyu dem aliishi kuninyima 6 months ,so siku moja ikajipa , nilimtumia fare ya kukuja all the way from Nairobi to Eldoret kufika kwa mlango akapata kifuli kunipigia simu nikamwambia siko arudi, na I had made sure hana pesa zingine Mpunguze kiburi wasichana.