M.a.n.a.n.a 🗽
@mananajr_
Humble soul
Unajiuliza mbona siku hizi hangover inachelewa sana kuniachia, kumbe ni figo zinafeli 😪
Nitoe ushauri! Kama ni utajiri wa ulimwengu wa roho, "jitahidi sana kufuata masharti.
Perfume za kiarabu hazinaga siri ukifika tu mtaa mzima wanajua ni wewe
Muongeze nguvu kwenye Kupush hii CHAN nasikia game ya KENYA na CONGO iko sold out uko kwa majirani.
Yanga wanaumia sana kuona tumetoa Ad kali ya mwaka. Sukari imepanda huko jangwani🤣🤣
#TajiriLaKihaya MWANAUME unatoa TAARIFA tu kwa Mpenzi wako Kwamba Weekend utakua Dodoma na Sio Kuomba RUKHSA! Ila MWANAMKE wako akikuomba RUKHSA anataka kwenda weekend Dodoma Marathon na Marafiki zake au Collegues… Basi Faham kitendo tu cha Mwanamke kuwa na Audacity ya…
Anza na hii
Ukiwa unaanza maisha hapa unaanza na nini? TV, SOFA NA KITANDA AU TV, KITANDA NA FRIJI
Eeh Mwenyezi Mungu Katufanyie Mwanzo Wa Week Mzuri Tukapige Noti Familia Zetu Na Wanaotuzunguka Waishi. Bila Kuwasahau Hawa Wanaotudangia Pia. 😅😅😅
Mwanafunzi yeyote mwenye Cheti kilichoandikwa Joyce Ndalichako na saini yake huyo mwanafunzi jina lake linapaswa liandikwe kwa wino wa dhahabu katika Taifa letu.
Mchague mwanamke wa kumuoa kwa kutumia masikio na sio macho.
A DJI Agras T50 Drone costs upwards of 25,000$... with that money unapata almost 100 of them... sambaza nchi nzima..train maafisa Kilimo wajue kurusha... No Gasoline needed , No Human errors for Crushing... Real Time Data acquisition and Monitoring But again what do i Know 😄
Waziri Husein Bashe. Serikali imenunua ndege kwa ajili ya kunyunyizia viuatilifu mashambani kwa gharama ya shilingi bilioni 6. Hii ni sawa na zaidi ya USD 2.3 milioni bei ambayo ni mara tatu hadi nne ya bei halisi ya ndege hizo sokoni.Kwa mfano, ndege maarufu kama Air Tractor au…
I wonder how Nigerians are able to eat eggs, fish, matumbo, beef and lamb all together in one stew drenched in 20litres of oil.
Kama Kabila lako liko hapaa Usiku Mwema. 1. Wasukuma 2. Wahehe 3. Wakurya 4. Wabena 5. Waha 6. Wanyakyusa 7. Wasambaa 8. Wamasai Haya Makabila yanateoa Watu wana Upendo sana. Wengine tutasalimiana Kesho.
Ukiwa unaanza maisha hapa unaanza na nini? TV, SOFA NA KITANDA AU TV, KITANDA NA FRIJI